Habari za jioni mabibi na mabwana.
Nimeona niilete hii kwenu pia nisikie mnasemaje.
Mimi ni kijana wa kiume miaka 25. Kuna mdada nilitokea kumpenda sana kutokana na uzuri wake, tabia na ukarimu...
Hali?
Naamini mara moja au zaidi wewe mwanaume utakuwa umewahi kuhisi au kugundua kabisa hili.
Kuna ile mmekaa sehemu au kwenye mkusanyiko fulani, mmechanganyika wanaume kwa wanawake. Sasa mara...
Unakuta mtu kaoa lakini nyumbani kwake hatulii muda wote yupo na marafiki wakiburudika na kuzengeazengea huku na huku.
Mtu wanatumia muda mwingi kuwa na marafiki kuliko mke wake yani yeye...
Naomba kujuzwa wadau. Maungaunga Yale na, wakati mwingine, ngozi inachunika mpaka majimaji yenye harufu mbaya yanatoka kwenye makutano ya mapaja vina athari gani kiafya ya uzazi?!! Karibuni.
Mkeo ana tatizo la kutokwa damu muda mrefu sana,Siku ya siku ya anakwambia ameamua kumtumia picha ya damu kakaake ili ajue madhila anayopitia, Huamini unaamua kuchukua simu yake ili ujionee...
Wanawake wengi sana wa kiislamu ila sio wote ndiyo wanaongoza kuwa na maadili na heshima kwa Taifa hilo pia ndiyo wanaongoza kukaa kwenye ndoa na kuwatii waume zao na hii kitu nimekifanyia utafiti...
Hapa Vip!!
Juzi niliamua kufanya utafiti fulani ili nijue ni kwa Kiasi gani hiki kizazi cha sasa kimeamua kumuasi Mungu kwakukafanya vitendo vile vya sodoma.
Ukweli utafiti wangu nilifanya kwa...
Inafikirisha sana, sisi wanaume tumekuwa tukimaliziwa vipato vyetu na hawa warembo tunaowapenda au kuwatamani.
Imekuwa ni kawaida, ili upate huduma na heshima ni lazima ugharamikie kwa namna...
Ukiambiwa hili neno ujue mwanamke ameshakupenda.
Ukiona mwanamke anakuambia "Msalime umpendae' au umpendae hajambo! katika maongezi yenu fahamu tu ushapendwa na kukubaliwa moja kwa moja .
Japo...
Habari wana-JF!
Tarehe 16 December 2018 nilileta uzi wenye kichwa " Nataka nifanye maamuzi ya kuachana na mke wangu"Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu - JamiiForums. Baada ya...
Wakuu,
Ndoa ni starehe na ni sherehe kuu hapa duniani,hujaoa basi bado haujaonja starehe hiyo duniani.
Wewe ambaye haujaoa au kuolewa nini kinasababisha usifanya hivyo?
Cc binti ndege
Njoo mjini ujionee mwenyewe. Mjini ni bahari ambayo usipoiingia kwa hekima lazima ikuzamishe, maana katika bahari hii wapo Nyangumi, Papa na vipapa vyote vinameza.
Mjini kuna kodi ya nyumba, kodi...
kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?
Naomba mawazo yenu wana JF
------------------------------
Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na...
Wanawake muwe na huruma aisee, imagine jamaa anatoka na mwanamke mkoani Kigoma vijijini ndani ndani anaenda nae mjini Dar es salaam, anapambana kufa kupona familia ile ishibe na bills zote...
Ni hali ya mtu kushindwa kuvumilia hali zisizoendana na matarajio yake, kukasirika haraka, kukata tamaa kirahisi, au kutaka matokeo ya haraka bila kujali mchakato. Mara nyingi mtu wa aina hii...
Nimechoka kuwa single natafuta mshangazi nimbebishe ajisikie yupo peponi kamayupo ajitokeze namba zangu zipo apo juu my location Dar es salaam Kigamboni 0768339259
Ipo ivi Mimi nimeoa tumebatika kupata mtoto wa kiume saizi ana miaka 2.5 alivyo jifungua mtoto nilimwambia saizi kutafuta mtoto mpaka maisha yakae sawa tu dili na kutafuta pesa kwaza maana...
Hello ushauri wenu jamani
Kuna mwanaume nipo nae kwenye mahusiano anafanya kazi bank fulani,ni mpole ananijali siku ya kwanza ku meet tu bila kufanya chochote akanitembezea 30k tuli meet sehemu...