Kwa Mabachela Tu: Kwanini Haujaolewa/Haujaoa?

Kwa Mabachela Tu: Kwanini Haujaolewa/Haujaoa?

Nipo na shemeji/wifi yenu hapa nawaangalia mabachela wanavyoweweseka na hili baridi
FB_IMG_17511790309877597.jpg
 
Mbona mnatuuliza uliza mkuu?
Kama nyinyi mmeoa inatosha, mbona ni kama mnajishughulisha na maisha ya wengine....

Kawaulize wale walioungua same, kulikuwa na faida gani ya Yale yote walifanya duniani.Ubatili mtupu
oa usije ukafa huna mke
 
Back
Top Bottom