Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nakumbuka maneno ya kjana wangu aliyoniambia tukiwa tumeketi wote katika mgahawa fulani, aliniambia Edson ninakwambia kitu kikubwa sana kitu kilichonitokea jana lakini alianza kwa kusema; "In the...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nikikutana na mijadala kuhusu kile wenzetu wanachoita Teleportation. Nimejaribu kupitia mijadala mbalimbali katika mtandao wa Youtube lakini nakutana na habari za kwamba ni uzushi hakuna...
4 Reactions
48 Replies
8K Views
NI VEMA UKAYAJUA HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA: 1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote. 2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Mambo ya mapenzi yanaumiza hasa ukigundua kwamba unayempenda amekusaliti na anaendelea kufanya hivyo Je ulifanya maamuzi gani baada ya kugundua hilo ? Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari zenu wapendwa waume kwa wake. Mwenzenu nimekuwa na kasumba ya kuingia katika mahusiano na kuyavunja baada ya mda mfupi.Hi inatokana na kuwatamani wasichana ambao awali nakuwa nawaona...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Baada ya kupata ban nikaimiss jf Mara 100 ya ninavyoipenda. Wadogo kwa wahenga,habari zenu wana Jamvi,wana Jf,wana MMU. Leo nawaletea kisa kimoja hivi cha kusisimua,nasema cha kusisimua kwa...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Natafuta mpenzi wa kike girlfriend under 28 years contact 0785549057 kwa ukaribu na kufahamiana zaid Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Salaam jf members Naomba leo tuongee humu sisi walimu,wazazi na walezi kwa pamoja haswa sisi wakitanzani. Jukumu la malezi sasa hivi kwa mtazamo wangu naona kama wengi haswa wazazi na walezi...
12 Reactions
47 Replies
4K Views
  • Closed
Hellow: Mimi ni msichana wa miaka 28 and am single,ningependa kupata boyfriend ambae nae yupo single Vigezo: Age: above 28 Education: degree and above
18 Reactions
225 Replies
19K Views
Wadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa. Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo. Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi...
16 Reactions
128 Replies
11K Views
Una mke. Amejifungua kwa operation. Mtoto ndo anakaribia kujaza mwaka tuu, hata hajaweza kusimama atembee, umeshamjaza mkeo mimba tena. Hizi dushe kila wakati zinawaza kuchomeka tuu. Pumbaf. Alafu...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Wana jf, nipeni sms za mahaba za kusimua sana ambazo naweza mtumia mpenz wangu usiku huu.
0 Reactions
63 Replies
126K Views
Nashangaa kwanini hata yule mwenye maisha ya shida mpaka anatamani kufa, kwanini anapougua na kukaribia kufa hafurahie kuisha kwa shida zake akifa, bali uhangaika kujitibu ili apone halafu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Miaka ile lilipokuja suala la mawasiliano/kutongozana na warembo, zile barua zetu za Kihenga “Dhumuni la barua hii….” ndo ulikuwa mwendo, si ndio? Leo hii tunatext, whatsapp, email, Insta na...
5 Reactions
47 Replies
7K Views
Moja ya nguzo muhimu na bora ya mahusiano ni kumjua mwenza wako vyema na kuwa waaminifu katika mapenzi na kuwa wawaazi kwa kila jambo. Wazungu wanamsemo wao unaosema,''Trust means everything, but...
13 Reactions
71 Replies
11K Views
Jamani kuna mdada nimekutana nae siku za hivi karibuni na tangu nimeanza uhusiano nae kila nilimpojaribu kuomba game ananizingua tuu kwa sababu ana malengo yake amejiwekea? Ameniambia endapo...
2 Reactions
115 Replies
7K Views
Mtu anielekeze unatumiaje private message ili niwe nawatumia madem ni nawakubalii humu jf Wa kishua
0 Reactions
45 Replies
7K Views
[emoji113] Kutwaa mtoto wa kike kajipaka ma makeup, bila kusahau ngozi kajichubua, nywele fake, cope fake, kucha fake, lipstick kaijaza kama kapaka rangi ya nyumba na bila kusahau na vitu vingine...
5 Reactions
110 Replies
11K Views
Habari za wakati huu wana MMU, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada ambayo inahusu kugegedana kwa kutumia nyimbo. Mimi binafsi napenda sana nikiwa kwenye maandalizi ya mgegedo basi lazima...
2 Reactions
60 Replies
6K Views
Habari za jioni wanajukwaa, Mimi si mjuzi wa kupost thread hapa ndani lakini ni msomaji mzuri sana wa mada mbalimbali na michango ya watu. Nikiri kuwa kupitia hili jukwaa nimejifunza mengi sana...
6 Reactions
155 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…