rmajani
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 532
- 528
Nashangaa kwanini hata yule mwenye maisha ya shida mpaka anatamani kufa, kwanini anapougua na kukaribia kufa hafurahie kuisha kwa shida zake akifa, bali uhangaika kujitibu ili apone halafu aendelee na shida zake, ndiyo nini sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app