Hii huwa inanishangaza sana, unakuta watu wanaitana majina yote matamu matamu pale wanakuwa wapenzi lakini penzi likiisha majina yana kuwa kinyume cha yale ya kwanza.
Rafiki yangu alikuwa na...
Habari wanabodi,
Naandika Uzi huru nikiwa na gadhabu kweli.
Unakuta mtu unaomba meeting ww na mpnz wako,mnakubaliana mkutane saa flani.
Muda ukifika dem anakuwa bado hajafika eneo la...
Ujana wa sasa umejaa ujivuni na starehe na asilimia kubwa ya vijana wa kizazi hiki tumepoteza nidhamu mbele ya jamii na kwa wazazi wetu.
Siku hizi kijana anajitafutia mwanamke kisha anampa uja...
Habari za jioni wadau wa jukwaa hili poleni na majukumu ya kila siku. Mwenzenu nina swali lenye ukaka kidogo ambalo wengi hawapendi hata kulisikia lkn ni wajibu tukumbushane kutokana na hali...
kwema ndugu zangu?
kuna mambo yanaweza kuwa yanakutokea katika mahusiano yako ya sasa mpaka ukajikuta unakua na mawazo meeeengi.
Anyway kama baadhi ya jamii zinavyoamini kuwa huwa kuna maisha...
Bibi harusi katika jimbo la Tennessee nchini Marekani ametiwa nguvuni baada ya polisi kusema kuwa alitoa bunduki kwenye gauni lake la harusi na kumtishia mumewe saa chache tu baada ya kufunga...
...I LOVE MY HEART AND MY BRAIN...........
From now on not interested in love affairs any more...
.......hints.
Mapenzi hata nguruwe , mbuzi , ng'ombe wanayo...
Najua ni haramu lakini nahisi nataka hicho kitu,nataka kuweka alama ya ukumbusho wa jina la mtu muhimu sana kwangu!! Hivyo nimevutiwa kwenda kuchora sehemu ya mwili wangu (mkononi) kama ishara...
KAMA NDEFU KUSOMA ACHA KAANGALIE SERIES ZA KIHINDI
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kutupa pumzi na afya, Tuwaombee wagonjwa wote wapate uzima na walio tangulia mbele za Haki Mungu...
Za jioni Hii wadau,niende kwenye mada.
Naishi na mdogo wangu hapa kwangu,
Sasa wiki iliyopita akawa amesafiri na kama mnavyojua kuwa ukizoea kuishi na watu na siku akiondoka kidogo unakuwa mpweke...
WADAU wa JF naomben mchango wa mawazo hyu demu nmezoeana sku 3 lakn tushaanza kupapasana mpaka kuchezeana sehem nyeti mpaka tunatoka jasho japo sio mpenz Wang
Mda mwng ananiulza Jina la...
Hivi inakuwaje mtu upo katika mahusiano lakini katika hayo mahusiano yamekuwa yakimtesa mtu yaani muda wote mtu yupo na stress,msongo wa mawazo, hana raha ,anakosa uhuru lakini ukimuuliza tatizo...
Za hapo ulipo mkuu,
Niende kwenye mada kabisa,
Mimi kwa sehemu yangu huwa sipendi kuishi na mpz wangu kwa amani mda wote kwani huwa nahisi naboeka kiana...nikiona tumechekeana sana na kila...
Habari wana familia..Niende kwenye JIPU MOJA KWA MOJA.
KUNA KATABIA Nimejaribu kukachunguza cha wanawake wengi pale wanapoalikwa "DATE" na wanaume huwa inapokuja muda wa CHAKULA wanawake...
Hivi embu tupeni experience mlioko kwenye mahusiano ama ndoa, mumeo ni boss wako kazini ama mkeo ni boss wako kazini.
hivi unaweza kua boss wa mumeo ama mkeo kazini na mkaishi vizuri na...
Mhe. RAIS USIMGUSE MPENZI WANGU.
Leo nikiwa ninaperuzi video kadhaa huko YouTube, mara nikaifikia video moja iliyoniacha hoi, nikatamani ku-share nanyi. Ilikuwa mwaka 2014 wakati wa upigaji kura...
Nimeikuta mahali..
"Nimeshakwambia Nakupenda na pia nahitaji kuwa na wewe kama Mpenzi Wangu, Kwanini Hautaki Kunielewa Jamani!!! au ndio mpaka unitese mwenzako siku zote tazama Miezi na Miaka...
Habari....
wakuu leo asubuhi kuna mtu alinipigia simu ni ndugu ninayemtegemea kwenye masomo akawa analalamika kwa baadhi ya mambo ambayo sio sahihi nimefanya ilipofika sasa point ya kunifanisha...
Qualifications:
Tall
Handsome (smart man)
Asiwe mwebamba sana wala mnene sana
Age from 28 to 45
Asiwe na kitambi[emoji20]
Sihitaji ndoa (stress tupu)[emoji57]
Mtoto akizaliwa ana uhuru wa kuamua...