Its time to say gooodbye,ooh maumivu

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
kwenye kuachana na mpenzi wako ama mke,kati ya wanawake na wanaume nani anapata maumivu zaidii
 
ni sawa ila huoni kua kuna wanaoumia zaidi,mfano,kwe msiba wanawake wanalia sana
 
Atakayeumia ni yule anayempenda mwenzie zaidi, kama wote penzi lenu ni moja na dhati sioni kwanini watu waachane matatizo yote yawe madogo na makubwa yatakuwa na suluhisho.
 
Lol.. FWB wangu mi mzima, big mama wako (konnie) wacha aniwakie akaniambia amekuwekea ulinzi... Mzima wewe?

mi mzima sana
nakutafuta sikuoni
nikafikiri umeshashindwa 'u fwb'
na umeanza ku fall now sasa unakimbia lol
 
mi mzima sana
nakutafuta sikuoni
nikafikiri umeshashindwa 'u fwb'
na umeanza ku fall now sasa unakimbia lol

Am so here.. Mi nakwambia utakimbia wewe boss.. It takes SO MUCH to make me fall.. You are not even closer. Lol. Halaf due date inakaribia.
 
Am so here.. Mi nakwambia utakimbia wewe boss.. It takes SO MUCH to make me fall.. You are not even closer. Lol. Halaf due date inakaribia.

usipo fall ndo vizuri
rule no one
no phone call the day after...lol
 
Back
Top Bottom