Utakuta mtu anaishi nyumba ya kupanga ila jioni asubuhi hao wanaenda na kindoo chao bafuni watakaa wee huko.
Hivi hii ni sawa kweli?
Jenga yako bwana, halafu mnaacha bafu bila kusafisha...
Wengi mmeniomba sana tena sana kwamba nilete mrejesho tukio liliendaje, kuhusu binti aliyekula laki nne yangu ndani ya mwezi bila kumega. Na mm bila hiana ninawapa MAAJABU aliyokuja nayo.
Baada...
WAKUU,
KAMA KAWAIDA YANGU NIME_CHILL HAPA MITAA YA SAVEI MKABALA NA MLIMANI SITI,
KIJIWENI KWANGU NAPOFANYIA BIASHARA YANGU YA KUUZA MAHINDI YA KUCHOMA YA 500/= NA KIPANDE 200/=,
MARA IKAJA...
Mimi ni kijana nimehitimu kidato cha sita na now tunafanya app za mikopo sasa pindi tunafanya app za vyuo nilikutana na mdada mmoja ambaye kiukwel nilikuwa simjui na wala yeye alikuwa hanijui...
Habari wakuu za usiku...
Twende kwa mada tangu siku ya kwanza unazaliwa duniani mpaka unakuwa kuna baadhi ya mambo mara nyingi unajivunia hata kama unapotia changamoto yoyote ile ya maisha ila...
Jamani habari za asubuhi,nisiwachoshe ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika, Nimekuwa nikifanya research isiyo rasmi kwa mda mrefu kuhusu sababu wanazotumia wakina dada kumkubalia mtu au...
Habari wakuu,
Naenda direct kwa mada mara nyingi kitendo cha kufanya mapenzi kabla ya ndoa limekuwa jambo gumu sana kwa wengi kwa kupinga misingi ya dini zote linapinga suala hili.
Wakuu hivi...
Mamboz,
I have a friend amepata boyfriend a month ago and the guy yupo romantic na anajua kucare yani hao kwao kutoka kila weekend sio shida, mkaka anajua kujali mpaka raha na ni handsome...
JINSI YA KUISHI NA BINTI WA KAZI.
Binti wa kazi ni msichana wa umri kati ya muaka 14 hadi 18 ijapo kuwa kuna wengine wamezidi umri huu hadi wengine kabisa kuwa watu wazima; wa mama wa makamo na...
Baadhi yenu ndio mlivyo.. Ni wachache mno wako romantic wakiwa kwenye mahusiano.
wanaosalia wote kwenye mapenzi kama wanajeshi wako kambini.. Khaa[emoji45]
Mwanaume muda wote yupo serious mbele...
Mke anataka kuondoka kwenda kwao na watoto wetu wadogo wanaosoma na sababu kubwa ikiwa hataki tuishi na watoto wengine wa ndugu ambao nao pia wanasoma kwa madai kwamba wazazi wa hao watoto wengine...
Dada mzuri wa Sura na umbo...
Ana kazi Nzuri na pesa sio shida kwake na kwao...
Elimu kabukua kiasi cha kutosha na akili ziko sawa ni mweledi na msomi wa viwango vya juu...
Shida ni ndoa tu...
Habari za mchana .
Almost imepita wiki tangu nilipoleta uzi wangu wenye kichwa cha habari "nahitaji kupumzika ". Nilielezea ni jinsi gani nilikorofishana na mwanaume wangu...
hellow
Kuna hili tatizo wanajamvi nimeli-observe kwangu yani mara nyingi wale mademu ambao ndo napenda haswa niwe nao kwenye mahusiano ya kimapenzi wanakuwa hawana mda na mimi, lakini wale ambao...
Najua mko busy sana kwa shughuli but kuna binamu yangu mmoja kahitimu university mwaka juzi baada ya hapo amepata kazi.
Sasa hutaki kabisa story za wanawake pia tangu asome hana legacy yeyote...
Za leo ndugu zangu,
Mzazi mwenzangu kamchukua mwanangu kwa kisingizio kwa kua anaendanae likizo Mwanza ambako yeye ndiko anapofanyia kazi zake za sanaa za kuchora, kuuza vinyago na pia ni...
Habari...
Aisee kuna watu kuanzia siku wanazaliwa hakuna mtu yoyote aliye wahi kutokea kukueleza hisia zako...
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke haujawahi tongozwa poleeee sanaaa....
Binadamu wakikaa eneo moja huwa wanakuwa kama watoto unakuta kijana wa miaka 27 fresh from chuo kaajiriwa anarafiki yake ana miaka 56 wale BBC ambaye ni umri wa babake lakini wanapiga story za...