Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,022
Habari wakuu,
Naenda direct kwa mada mara nyingi kitendo cha kufanya mapenzi kabla ya ndoa limekuwa jambo gumu sana kwa wengi kwa kupinga misingi ya dini zote linapinga suala hili.
Wakuu hivi kwa walioweza kufanya mapenzi baada ya ndoa kuna maswali nahitaji wauliza ili muweze nisaidia.
1.Jambo gani kubwa au silaha iliyowafanya mshinde hizi changamoto?
2.Unajivunia suala hili ili sisi ndugu zenu tujifunze?
3.Una lipi la kutushauri ili tuzivuke hizi changamoto?
Note.
-Ukiandika pumba nakujibu hivyo.
-Leo nimekuja sereous.