Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wajameni salaaama! Jamani mwenzenu hakuna suala linanitatiza kama kutafuta mwanamke wa kuoa, si kwamba mimi nina mandazi mdomoni ila sasa kila ninayemnasa badae nagundua ni wrong way namani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
Inasemekana 70% yawanawake akiwa analia kitandani, hufanya hivyo kumridhisha mume,,,, na sikwamba anafanya hivyo kwa kumaanisha,, Only 30% wafanya hivyo kwa pleasure!!! Wanawake Mungu anawaona
32 Reactions
1K Replies
238K Views
Habari wana jamvi, Natumaini wote wazima na mmekuwa na Eid Njema. Niende kwenye mada sasa. Namfahamu Jack kwa muda mrefu ni mrembo na mkarimu,lakini Jack alikuwa na mahusiano mazuri tu na mvulana...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kinajieleza, Mimi ni mwanaume wa miaka 29, mtumishi, mrefu cm 185, mwili wa kawaida. Msichana awe mweupe, au maji ya kunde, elimu kidato cha nne na kuendelea, mfanya kazi au...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni kitu ambacho sikutarajia kingetokea..! Baada ya kuvutiwa nae, na kufanya juu chini, kupata namba yake ya Simu, nilijaribu kufunguka kwa binti huyu, na (sijui Mungu au Shetani) kwa bahati nzuri...
2 Reactions
57 Replies
11K Views
Kuna siku niliingiwa na tamaa ya kuchepuka, ibilisi nae akawa anataka kuwa mdhamini wa mpambano, lakini nafsi yangu haikuwa na amani kabisa kimioyo kinadunda dunda hivi...kila napopiga hatua...
11 Reactions
45 Replies
4K Views
Utasikia watu wanasema yaani nilimuacha mwanaume handsome mwenye hela, nimeangukia kwa huyu mfupi, mweusi, mbaya na mlevi. Na wanaume nao hivyohivyo. Mathalani ukienda kanisani au kwenye hafla...
19 Reactions
53 Replies
5K Views
Kwa nini watu wanawehuka na penzi mtu anakuwa mnyama akiambiwa amemegewa? Na wanawake wanaenda hadi kutafuta ndumba au anafanya hila amcross rafiki yake kwa mpenziwake ili awe naye!?? Ila mwisho...
0 Reactions
10 Replies
17K Views
Habari zenu natafuta mchumba nimechoka upweke from 25-35 female. Mimi ni mwanaume nina miaka30 kwa walioserious tu nakuruhusu kuja pm.Mengine tutadiscuss. Thanks in advance. Sent using Jamii...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa natafuta mchumba ambaye baadae atakuwa mke awe na elimu kuanzia kidato cha nne umri kuanzia miaka 23 aliye interest tuwasiliane pm...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa serikalini natafuta mchumba wa kike wa kuoa awe na umri wa miaka 24-26 elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea aliye interested tuwasiliane pm
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kubariki Ndoa Je! 1. Kuna umuhimu wowote wa kubariki ndoa kwa watu, mke na mume, walioanza kuishi pamoja kabla ya kufunga ndoa? 2. Je! Tendo hili la kubariki ndoa ni...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Mwanamke aliye na mapenzi ya dhati,mcha Mungu(muislam),mtafutaji,elimu level yoyote kuanzia ngazi ya secondary,kama ana kazi ni added advantage,mm ni muajiliwa serikalini nna ishi nje kdgo ya jiji...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanaume wengi ni wavivu kufanya usafi wa nguo za ndani, soksi na hata makao makuu. Unakuta jitu limefuga manyele ya kwapa kama rasta, kule kwa dushe ndo usiseme loh! Embu nyoeni muepuke aibu na...
6 Reactions
116 Replies
8K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mwanamke mtu mzima (wengi uwa wanachanganyikiwa na hii jina wakidhani ni mwanaume.) Nilikua na mpenzi wangu toka october 2014 na mpaka sasa. Kwenye...
17 Reactions
50 Replies
4K Views
Tufunguke wa ndg Ni jina gani hutaki kuliskia ama kulitamani kwenye mahusiano. Mimi nikiskia jina 'lucy" huwa nafedheeka sana sipend kabisa jina hilo, nilimpenda sana lakini hakupendeka...
5 Reactions
272 Replies
24K Views
Nakumbuka ilikuwa ijumaa moja baada ya kupokea mshahara( ilikuwa nchini Burundi) Ndugu yangu akaniambia brother leo nahitaji nikutoe out, ukanywe ukatafute mwanamke mkaali ufanye yako, Dah kwa...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Eti wakubwa inch sita pia ipo kwenye kundi la kibamia.
1 Reactions
74 Replies
29K Views
Wakuu habar... Naamini shule hazija fungwa hivyo sitegemei kuona comments za wanafunzi humu... Back to the topic. .. One month ago niliingia kwenye mgogoro na girlfriend wangubaada ya...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Ewe kijana, kijana unayesaka maisha, sikiliza neno hili toka kwa kijana mwezio, mhenga aliyepitia mengi katika umri mdogo. Unapo anza kuwa na malengo hasa malengo ya kusaka pesa na kuwa tajiri...
24 Reactions
103 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…