Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Juzi nikiwa napita pale maeneo ya Kifaru wilayani Mwanga nikakuta Samaki wakubwa sana wakiuzwa kwa mafungu.. Wale Samaki wa bwawa la Nyumba ya Mungu.. Kwakuwa nakaa kisela, nikaamua wengine...
2 Reactions
31 Replies
11K Views
Kuna mhenga alishawahi kunionya kitambo kidogo huko nyuma, kuhusu mtoto Wa kwanza Wa ndoa kufanana na mama take mzazi. Eti alidai likijitokeza suala hilo ujue ni dalili mbaya sana kwa mustakabali...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwema wakuu? Ebana,me huwa sio mtu wa kukaa gheto sana,muda mwing nakua niko kwenye mizunguko yangu ya kimaisha.asa kuna binti wa maza house hapa nilipopanga naona kama anataka kuanzisha mazoea na...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Leo nimechoka sitazungusha kiuono madem zangu leo nitatuma popo Bawa mnapois mtapigwa miti msbane paja ok Wa kishua
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wapendwa naomba mnisaidie kidogo.....hivi wanawake wa siku izi wanaomba ruhusa kutoka kwa wanaume wao au wanatoa tarifa ili hali wameshamaliza kujiandaaa? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Naona thredi nyingi sana wadau wake kwa waume wakilalamika kuhusu mahusiano. Sasa twendeni taratibu tupeane uzoefu wa haya mambo ya mahusiano. Mimi ninaanza kama hv: Kwa wanawake na wanaume...
4 Reactions
37 Replies
8K Views
Mpaka we umtafte ndo anapokea Jua kuna janjajanja lingine linataftwa kila siku Anakuwa na wewe kwa manufaa yake tu
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mapenzi kwangu imekua ni kikwazo kikubwa cha kutokua na furaha ktk maisha yangu yote, haya yamenitokea baada ya kua na mpenzi ambae anajua kua ninampenda na siwezi kumkosa hata aninyime kitu gani...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
By darasa la Mapenzi Wakuu nimekuwa na Mchumba wangu takribani miaka miwili sasa, Nikiwa katika hatua ya kukataa shauri nimuoe kabisa nimweke ndani nikapenyezewa kaumbea kutoka kwa shoga yake...
2 Reactions
118 Replies
10K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wadogo "wadogo zangu" kujazana sehemu za kunyanyua vyuma ili wawe na vifua za kuwavutia warembo, huu nauita ni ushamba kwa sababu mwanamke mwenye akili hatafuti...
22 Reactions
233 Replies
22K Views
Nilisoma thread ya #wrightbrian with heading"Ile naingia tu, jamaa anapiga kofi wowowo la mke wangu, huku wakifurahi" I asked my self like how will you(mwanamke) feel when you found /caught your...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wazazi wenye watoto wa kiume naamini mnaelewa yanayoendelea kuhusu watoto wa kiume kuanza kuingiliwa wakiwa bado wadogo. Huanza huu mchezo wakiwa shuleni,wakiwa mtaani au wakiwa nyumbani...
15 Reactions
58 Replies
7K Views
Una chumba kimoja na sebule au viwili na sebule,chumbani walala wewe na mmeo na kingine analala mtoto wenu,,halaf anakuja mgeni unamuacha alale na mwanao au wanao,,chonde chonde,,huyo mgeni alale...
4 Reactions
76 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu,,Mimi hua najaribu saana kulifiatilia hili swala la mwanamke anaevaa shanga.. Anavaa kama urembo au kukupa hamasa mwanaume wakati mki shughulikiana au anavaa kama ni Fashion tu?
0 Reactions
37 Replies
17K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, natumai mko na wakati mzuri kabisa, na Jumapili imeenda vizuri kabisaa. Niende kwenye mada ndugu zangu nna mpenzi wangu tumekuwa kwa muda mrefu kidogo Anasoma...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi, Natumai nyote ni wazima bila kupepesa macho nakwenda moja kwa moja kwenye mada aisee shida yangu mimi ni msichana tu awe mpenzi. Nikwamba ni mda mrefu sana niko single...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Habari za mida wakuu mbalimbali Nipo kitaani mda huu najionea jinsi vitoto vya kike vinavyo randa randa mtaan Yan watoto chuchu SAA sits AF wanaita hatary,nimegundua waschana wengi huanza...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
1. What it is: It is willingness of giving away to someone POWER TO DESTROY YOU AND TRUSTING THAT THEY WONT 2. Why we do it: We do it because we want/need someone to share the rest of our lives...
0 Reactions
112 Replies
6K Views
Napataje ujasiri wa kuwa kama lebrother le mutuz ? Dah hii kama ni couple, wanapendezeana sana, offcourse brother le mutuz nakukubali sana, unisamehe tu nimeweka picha zako, nimezitoa LE MUTUZ...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…