WEWE SIO MWANAUME, ILA HUU NDIO UANAUME.
Eti mwanaume unaoga mara 5 kwa siku sasa sijui huyo dada yako yeye ataoga mara ngapi akiwa Period.
Mwanaume upo room kwako eti unasikiliza nyimbo za...
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusiana na kama ni kweli kwamba watu ambao ni wembamba ni bora zaidi ya watu wanene. Nimelazimika kufanya utafiti kwa kushirikiana na wataalamu mbalimbali wa ndani na...
Hii imekithiri kiukweli wanaume mkiamua kutulia mkaacha michepuko mkaridhika na mliokuwa nao hakika waganga watamrudia Mungu wao wataachaa maana wateja hamna.
Wanaume mmezidi mnatesa wanawake...
Wahenga walisema chozi la samaki linakwenda na maji mimi nasema chozi la mwanamke humlaani mwanaume aliye umiza moyo wake.
Mara nyingi mwanamke huingia katika mahusiano ili kuitetea amani ya moyo...
I hope mko salama ndugu zangu
Nisiwachoshe nanyooka mazima
Yapata wiki ya tatu sasa kila nikishika simu ya mke wangu nakuta charts zake na mtu anayedai ni ndugu yake.
Nimehoji mara kadhaa na...
Habari wana JF,
Nimemaliza chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe kufanya kazi binafsi ya kusafisha mazingira hususani kuzoa taka pamoja na kuzibua vyoo ajira hii inanisaidia kupata ridhiki kwa...
SAMUEL ETO'O WRITES: "I met my wife when I was still an amateur footballer in France. FC Nantes refused to take me but my wife always believed in me. I had my little Camer accent car and she was...
Habari zenu wana jf!
Karibuni kwa makala hii hapa!
✍ Kwa utafiti uliofanywa na Bi Lea Rose Emery huko uingereza, alibaini kuwa mahusiano ya mtu ya kwanza ndiyo mahusiano sahihi katika maisha...
Kutokana na uchunguzi niliofanya mdogo, wanaume wengi wamekuwa ni watu wakujadili mambo ya wanawake kuliko maswala yao binafsi ukitaka kuamini angalia mada zinazohusu wanawake ni nyingi mno hapa...
Zipo sababu mbalimbali ambazo huchangia mahusiano mengi ya kimapenzi kufa, na miongoni mwa tabia hizo ni pamoja na zile tabia ambazo wanawake hao wamekuwa wakiziendekeza na miongoni mwa tabia hizo...
Nina rafiki yangu ninasoma nae chuo mwaka wa pili kwa mara ya kwanza nilikutana nae notice board tukiwa tunataka kufanya registration nikiwa mwaka wa kwanza.Jamaa yuko smart sana ila toka...
Baadhi ya watu husema ukioa mwanamke aliokwisha zaa na mwanaume mwengine basi ujue umeoa mwanake wa kidume aliezaa nae kwa sababu akimtaka kikwazo hakuna sababu ni mtoto
Je: haya ni sahihi...
Ukiwa mtu wa kuangalia mambo kwa juu juu basi kila kitu kwako kitakuwa kigumu. Kusoma unaweza kuona ni kugumu, kufanya kazi kugumu, hata kusubiri mshahara unaweza kuona ni kugumu.
Urahisi kwako...
Unajua zile enzi za o'level mapenzi yalivyokuwa?
wakati ule kubalehe kumepamba moto...
nikampata "demu" mmoja hivi wa form two basi mapenzi yakawa on-fire.Kila tukitoka skuli ni lazima nitimbe...
Habari yenu wapendwa,
Leo naomba nilonge nanyi machache yaliyoko moyoni mwangu,
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka tabia ya baadhi ya watu kuwasimanga wanawake walioachiwa watoto peke yao...
Amani kwenu
Naomba nifahamishwe wadau pamoja na umri nilionao nimekutana na masahibu ya kung'atwa meno hivi nataka kwenda hospital naambiwa ni love bite sijui lakini ndio maumivu mpaka damu hata...
Miezi mitatu iliyopita, nikitokea Dom kuja Daslam, nilibahatika kukaa siti moja na demu mmoja ambae yeye alikuwa anatokea Mwanza. Ilikuwa Gari ya Kisbo ambayo hufanya safari zake za Dar-Mwanza...
Habari zenu waungwana.
Hebu jifikirishe kwa nini zama hizi hakuna.Tunakubali tu Dada zetu wanachukuliwa kirahisi na hawa mashemeji bila kuwa charge pesa na tena kama ni kabila la kwetu Dada...