Ni urembo, utanashati, pesa, elimu au akili kichwani unapochagua mwenza wako..???

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,457
12,682
Swalaaamaa...! Swaliiiii...! (In Joti voice) JAZA UJAZWE HAKUNA NAMNA.
Swadata nina swali kwenu wanajamvi na nitaomba mnisaidie kulidadafua kinagaubaga.

Je, ni Urembo, Utanashati, Pesa, Elimu au Akili kichwani unavyoamua kumchagua, au ulipomchugua mwenza wako?? Binafsi jibu ninalo ila ni bora kwanza nisikie kutoka kwenu ndani ya mjadala mkinishawishi nami pia nitaonesha mtizamo wangu katika hili swali.

Ukweli ni kwamba kuna msemo mmoja kwamba " MUNGU KATIKA KUGAWA TALANTA ALITAWANYA ILI KILA MTU APATE" hapa namanisha kila binadamu huwa anaupande wake wa mambo mazuri, tupo warefu, wafupi, weupe, weusi, wenye akili kubwa (bigmind) na akili ndogo, wenye vipaji tofauti, na wengine waliojariliwa mihogo, wengine vibamia, wengine wamebarikiwa pesa wengine tu maskini, lakini maajabu ya Mungu furaha ya mtu haitokani na vitu alivyo navyo bali kuridhika na hali yako.

Sasa kwenye jamiii siku hivi kuna conspiracies nyingi juu ya mahusiano, nikimanisha vigezo vya kumtafuta Mchumba, Mume au Mke wapo wanao tumia kigezo cha AKILI wakiamini sura ata mbuzi anayo, wengine wanasema sura na umbo mhimu kwamba mwanamke TAKO maana makalio ata fisi anayo.

Sasa kimbembe kwa wadada wao wengi PESA ni kigezo kikubwa wakidai akili pesa wapi na wapi, wakifika ndani wanakumbuja kigezo MSALIBOKO (mhogo wa jangombe) wanaanza kuchepuka wakiulizwa wanajibu kama kipesa ingekuwa inatosha basi wangeolewa na M-PESA sasa hapo sie wanaume hatuwaelewi kabisa hawa viumbe.

Kuna stori moja ya CHIRIKU na TAUSI, wakati tausi anamzingua chiruki kuwa anasura mbaya huku akimlingishia mkia wake unaovutia misiri ya vazi la malkia... chiruku naye akihami na sauti yake nyororo na kuvutia kwa kubembembeleza huku akimkubusha MSAUTI WA TAUSI mbovu kama horn la meli, afu akamwambia MUNGU HAKUWA MJINGA aliopoamua kutawanya talanta.

Sasa leo nikishia hapa, naomba kuuliza yamkini wewe, mimi, na wengine tumeweza kuvumiliana au kubaguana kwa mapungufu yetu...? Kuna watu hawajaolewa au kuoa sababu tu ya maumbile yao, hadhi yao, asili yao, na mazingira yaliyo wazunguka please chonde chonde wadada na wakaka, Pesa inatafutwa, urembo unauzwa dukani, utanasharti vile vile, ila UPENDO WA KWELI HUAUZWI na kama ukiuzwa NO, ONE 'LL BE ABLE TO AFFORD IT.

Jifunze kumtengeneza mtu wako awe yule umtakaye, atakiwaza ulipomtoa ni sababu tosha ya kukupenda na kukuheshimu. NAWATAKIA WEEKEND NJEMA love you my buddies.
 
Swalaaamaa...! Swaliiiii...! (In Joti voice) JAZA UJAZWE HAKUNA NAMNA.

Swadata nina swali kwenu wanajamvi na nitaomba mnisaidie kulidadafua kinagaubaga.

Je, ni Urembo, Utanashati, Pesa, Elimu au Akili kichwani unavyoamua kumchagua, au ulipomchugua mwenza wako??

Binafsi jibu ninalo ila ni bora kwanza nisikie kutoka kwenu ndani ya mjadala mkinishawishi nami pia nitaonesha mtizamo wangu katika hili swali.

Ukweli ni kwamba kuna msemo mmoja kwamba " MUNGU KATIKA KUGAWA TALANTA ALITAWANYA ILI KILA MTU APATE" hapa namanisha kila binadamu huwa anaupande wake wa mambo mazuri, tupo warefu, wafupi, weupe, weusi, wenye akili kubwa (bigmind) na akili ndogo, wenye vipaji tofauti, na wengine waliojariliwa mihogo, wengine vibamia, wengine wamebarikiwa pesa wengine tu maskini, lakini maajabu ya Mungu furaha ya mtu haitokani na vitu alivyo navyo bali kuridhika na hali yako.

Sasa kwenye jamiii siku hivi kuna conspiracies nyingi juu ya mahusiano, nikimanisha vigezo vya kumtafuta Mchumba, Mume au Mke wapo wanao tumia kigezo cha AKILI wakiamini sura ata mbuzi anayo, wengine wanasema sura na umbo mhimu kwamba mwanamke ni TAKO maana makalio ata fisi anayo... Sasa kimbembe kwa wadada wao wengi PESA ni kigezo kikubwa wakidai akili bila pesa wapi na wapi, wakifika ndani wanakumbuka kigezo cha MSALIBOKO (mhogo wa jangombe) wanaanza kuchepuka wakiulizwa wanajibu kama pesa ingekuwa inatosha basi wangeolewa na M-PESA sasa hapo sie wanaume hatuwaelewi kabisa hawa viumbe.

Kuna stori moja ya CHIRIKU na TAUSI, wakati tausi anamzingua chiruki kuwa anasura mbaya huku akimlingishia mkia wake unaovutia misiri ya vazi la malkia... chiruku naye akihami na sauti yake nyororo na kuvutia kwa kubembembeleza huku akimkubusha MSAUTI WA TAUSI mbovu kama horn la meli, afu akamwambia MUNGU HAKUWA MJINGA aliopoamua kutawanya talanta.

Sasa leo nikishia hapa, naomba kuuliza yamkini wewe, mimi, na wengine tumeweza kuvumiliana au kubaguana kwa mapungufu yetu...? Kuna watu hawajaolewa au kuoa sababu tu ya maumbile yao, hadhi yao, asili yao, na mazingira yaliyo wazunguka please chonde chonde wadada na wakaka, Pesa inatafutwa, urembo unauzwa dukani, utanasharti vile vile, ila UPENDO WA KWELI HUAUZWI na kama ukiuzwa NO, ONE 'LL BE ABLE TO AFFORD IT. Jifunze kumtengeneza mtu wako awe yule umtakaye, atakiwaza ulipomtoa ni sababu tosha ya kukupenda na kukuheshimu. NAWATAKIA WEEKEND NJEMA love you my buddies.
We Mwenyewe umeacha kusema unapenda nini.. Kweli Watanzania tunapenda Umbea... Ushilawadu Umetuponza.. badala ya kuongea Mtazamo wako ni Vitu Gani vinakupelekea kwenye Mahusiano unasema eti Ngoja usikie wenzio wanasemaje? Hiz Shule tulizosoma kwa kucopy Copy Mbaya Sana. Samahani kutofautiana na wewe baada ya kusoma Paraghaph yako ya kwanza sikuendelea tena
 
Mimi kwangu naangalia kwanz umbile, cha kwanza umbile la mwwnamke, hapa namaanisha mkia, sura na muonekano aake kwa ujumla baada ya hapo ndio naangalia akili na vitu vingine.
 
Mi nilimuangalia mwenye utii,na anaeelewa nikimwelekeza,so mengine namwongezea tu kama kawaida,ila nisichoweza kubadili kwake ni tabia tu maana ndio kitu pekee anachokimiliki na ndio kinamfanya awe yeye kama yeye
 
Back
Top Bottom