Ilikuwa kidogo nijinyonge...mapenzi bhana!

Ilikuwa kidogo nijinyonge...mapenzi bhana!

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,424
Unajua zile enzi za o'level mapenzi yalivyokuwa?
wakati ule kubalehe kumepamba moto...
nikampata "demu" mmoja hivi wa form two basi mapenzi yakawa on-fire.Kila tukitoka skuli ni lazima nitimbe kitaani kwao...
Basi ikatokea nikawa nampenda kupita maelezo,si unajua wasichana wakijua kuwa wanapendwa sana,,,nyodo zikaanza mara unikome mara usinifate tena..
siku moja jioni nimemfata kwao akanitolea nje kwa maneno ya shombo...eti "...ukipenda kajinyonge ,sikutaki tena!"...
Sijui kitu kilinizuia kujinyonga siku ile,maana nakumbuka kamba nilikuwa nayo mkononi chini ya mti...[emoji3][emoji3]
 
Na sasa vipi si unaweza kujinyonga

nb: uache ujumbe kabisa usije ukatusumbua mara alikuwa na stress mara tu nini nini kumbe mapenzi
 
Tee tee,kwa sasa siwezi mkuu...nimeacha utoto!
Na sasa vipi si unaweza kujinyonga

nb: uache ujumbe kabisa usije ukatusumbua mara alikuwa na stress mara tu nini nini kumbe mapenzi
 
Eeh **** ndo papuchi we ulikua hujui

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
I mean kyuma

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Mkuu hadi leo bado unachanganywa na misimamo ya hawa dada zetu??
 
Back
Top Bottom