Ana inferiority complex nisaidieni nikampatie ushauri

Mr the dragon

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2017
Posts
2,015
Reaction score
3,965
Nina rafiki yangu ninasoma nae chuo mwaka wa pili kwa mara ya kwanza nilikutana nae notice board tukiwa tunataka kufanya registration nikiwa mwaka wa kwanza.Jamaa yuko smart sana ila toka nifahamiane nae sijawahi kumuona akiwa na mpenzi hata dalili tu hakuna.Mwanzoni nilichukulia kawaida nikajua labda ndo aina ya maisha aliyochagua. Siku moja nilikutana na jamaa kalewa binafsi sikushangaa chochote lakini yeye alijishitukia akanambia "usinione hivi man ntamwambia sababu nikiwa mzima".kesho yake nilipokutana nae akanipa story nzima kwamba yeye sio mlevi ila ana misongo ya mawazo na ameamua kuishi maisha ya kihuni na wahuni kwa kula kaya ,gomba na kunywa pombe ili asiishi lone life na kinachomuuma zaidi yeye ni kuona watu wanavuta madem wakali lakini yeye hawezi kumu approach demu mzuri na mjanja kwa sababu huwa anafeel inferior mbele yao na madem wa kawaida na washamba huwa hana mapenzi nao.Nilimuuliza anajiona inferior kivipi wakati huwa namuona Ana marafiki Wa kike wazuri na wanjanja alisema ni kweli ila huishia urafiki wa kawaida tu kwenye mapenzi ndo hawezi.Akaendelea akasema inferiority complex yake inasababishwa na kukulia kijijini so mda wote mbele ya watoto wa mjini huwa anajiona mshamba hana hadhi ya kuwa nao.Lakini huwezi amini ukimuona jamaa ni mjanja vibaya utafikiri kazaliwa kariakoo na mimi nilijuaga jamaa ni mtoto wa mjini mpaka alivyoniambia sasa nipeni ushauri wa kumpa maana nimeshindwa ata nimwambiaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mabanda ya kimboka yamevunjwa ?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Very simple. Huyu dawa yake ni papuchi tu tena ile ya mjini mjini. Mwambie afike pale Kona Bar Sinza, achukue changu aende naye shughulini kwa lisaa hivi, jamaa atarudi na kuwa mjanja zaidi ya hapa na kubandua kila demu aliyemuogopa awali.
 
Hivi kumbe kila mwanaume ana ndoto ya kua na mwanamke mkali, kina sie sijui tutapendwa na nani,
nwei mwambie ajikubali tu haezi jua hata hao anaowaona wakali wanajitutumua kua hivyo coz wana inferiority complex.
 
akaze...akiwa anakula kaya ainenee bangi nibangue nijikubali nijiamini nitongozee na nafsini mwake ajiamulie anaweza fanya chochote kwa manz yeyote ata awe mtoto wa malkia....(confidence)!anakula kaya anashindwa kujikubali dah bora aache kaya ale ugoro tu..
 
Kuna sababu nyingine hyo haina mashiko
 
Back
Top Bottom