Wanaume hivi mnaweza kweli ku-sex na wasichana msiowapenda?

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Salaam!

Kwangu mimi nimeshindwa kabisa, yaani msichana hata akiwa na uzuri kiasi gani, nisipompenda tu siwezi kusimamisha uume, ila nikimpenda daaah yaani kitu ngangari mwake mwake.

Nirudi kwenye swali, hivi wengine mnaweza? Au mimi nipo different? Yaani mademu wengi tu wanajigonga kwangu ila kama sijawaelewa nawachana tu kiroho safi.
 
Sisi kikubwa awe ametuvutia sio kumpenda.

Kwa wanaume sex and love are totally unrelated, men can successfully separate between sex and love.

Na kwa taarifa yako kwa wanaume sex ina nafasi kubwa kuliko kupenda.

Ndio maana kuna one night stand, haihusiani na kupenda kabisa.
 
Ingekuwa wanaume wote wapo kama wewe basi kwa namna fulani uchepukaji ungepungua

Ninachojua wanaume wanaongozwa na tamaa,na ndio sababu kubwa ya wengi wao kushindwa kutulia na mmoja

Kupenda mtu huwa ni process ndefu kidogo
 
Ndiyo, unamkula huku ukivutia hisia za nguvu yule ambaye una mahaba naye haswa ukichukulia picha ya uhalisia wake kichwani.

Kwa mantiki hiyo hautofautiani na mpiga punyeto kwa nguvu kubwa inayotumika kuvuta hisia ya umpendaye ilihali muda huo upo na usiyempenda hata punje.
 
kupenda ,kutaman,...izo mbwembwe tu havihusiani na kugonga mwanamke..

Ukjiona unaleta poz hizo jua kabisa huna nyege Za kutosha...

Ukta kuprove kaa mda mrefu Bila kusex wala kupga manyeto kama n mwanachama

Utaanza kuobserve uktembea barabaran kla mwanamke unamuona mzuri

Ukjiona unachagua jua huna nyege Za kitoshaa
 
Back
Top Bottom