Mara ya kwanza nilikutana naye mkesha wa mwaka mpya Kanisa la Roman Catholic nikajua moja kwa moja nimepata mcha Mungu, kidume cha bara nikazikaza nikamfuata na kuanza vijisalamu na kujipendekeza...
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Kama kichwa cha habari kinavyijieleza hapo juu
Ni urofa wa hali ya juu sana kufanya mapenzi na wachuchu wakali yaani visu vikali afu ukatumia ndom ni...
Habarini wanajukwaa,
Kwa mara ya kwanza nakuja jukwaani apa, natafuta mwanaume ambae atakuja kua mchumba na baadae ndoa, Mungu akijalia, nimepitia mirejesho mingi wapo walifanikiwa humu juwaani...
Mimi ni msichana wa 25yrs,ninaishi na vvu.ninasoma hivi sasa ninaingia mwaka wa mwisho,nina mwili kiasi urefu kiasi,mweupe kiasi,mkristo.ninatafuta mwanaume mwenye hali kama yangu,mkirsto age btn...
Mi napenda tujadiliane sisi kwa sisi wanawake ivi ni kwa nini wanaume zetu hawatulii(dushelele zao hazitulii kwenye suruali) na mke au mwanamke mmoja?
Yaani utafiti unaonyesha hata ungeyafanya...
Kushiriki ngono na mashine au roboti kunaweza kufanya binadamu wapunguze kufanya tendo hilo wao kwa wao ifikapo mwaka 2050, wanasayansi wameonya
Mtaalam mmoja wa roboti amedai kuwa mapenzi na...
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Katika pita pita yangu ya hapa na pale katika ulimwengu wa mahaba nimegundua wanawake wahenga ambao wamezaliwa miaka...
Eti ' Wadau ' wa ' Mahaba ' kuna ukweli wowote ule kwamba uvaaji wa Chupi za G-string ( zile zenye tukamba ) umesababisha sana ' maumbile ' ya Sirini kwa Mwanamke ( namaanisha Mbunye zao / Uke wao...
Watu wanaopenda kujibadilisha miili na ngozi zao kwa kutumia vipodozi vyenye kemikali za kujichubua na kubadilisha mwonekano wa sehemu za maumbile yao wametajwa kuwa miongoni mwa watu...
Licha ya kubainishwa kuwa na kiwango kikubwa cha umaskini, vijana wanaoishi katika kaya zilizopo kwenye mpango wa kunusuru kaya maskini (PSSN) wanataka kuingia kwenye ndoa wakiwa na umri mdogo wa...
Hellow
Leo nimeamka na kuamua kushare hiki kitu na nyinyi kwa mapenzi tu
Nilikutana na huyu kaka this year,sio siri yupo vizuri sana aliniomba namba na nikampatia......akaanza kunifatilia sana...
Habari….
Wanaume wamekuwa obsessed sana na hawa watu, kwa comments za hapa ‘single mother’ wana msoneneko, gubu ni watu wasio makini, walikua na majivuno na wamevuna walichokipanda…Hii ndio...
ni rafiki yangu tokea utotoni!
i mean best friend ikafikia akawa ni ndugu yaani flesh blood!
tulipendana hakuna jambo lake au langu kuwa siri kati yetu!
*elimu elimu elimu*
ndio ilifanya mi na...
Am not a good writer mtanisamehe kwa uandishi wangu and am sorry for my inconvenience kutokana na threads zangu tofauti tofauti ambazo wengine uwa hawapendi.
Nimetokea kuumizwa sana na so called...
Hellow! Hope mpo vizuri!
Kwanza napenda kuwapongeza wale wote ambao wamefanikiwa kupata either boyfriend or girlfriend through MMU. Mungu awalinde na muendelee kupendana daima na kwa wale ambao...
Yaan kila wakifanya mlolongo wa kukamilisha community hii nahisi wanasogeza mbali watoto hawa, jaman sisi Tanzania tuna ardhi ya kutosha tutawagawia kidogo Rwanda wala haina shida njooni kwa...
Nna ka swali, hivi ni kwa nini watoto wa nje ya ndoa hufanana sana na baba zao?
Yaani ukimuona mtoto tu huna haja ya kuuliza baba yake ni nani, na hukatai jinsi mlivyo fanana.
Hii ni kwa...
Jamani mimi ni mwanaume, nahitaji mke umri wangu miaka 33, mimi ni mfanyabiashara hapa jijini Mwanza.
Nataka nikimbie ukapera nahitaji kuwa na familia sasa. Mwanamke ninae muhitaji awe na mvuto...