chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Habari….
Wanaume wamekuwa obsessed sana na hawa watu, kwa comments za hapa ‘single mother’ wana msoneneko, gubu ni watu wasio makini, walikua na majivuno na wamevuna walichokipanda…Hii ndio generalization ya wanaume wengi juu ya wanawake hao
Ila sio wanaume wote wenye attitude na generalization kama hizi kwao, wengi wanaotoa generalization hasi juu ya kitu Fulani basi wanakua wameathiriwa nacho au uelewa mdogo, mfano mwanamke anaweza kuwa anawachukia wanaume labda vijana wa rika lake wote kutokana na kuathiriwa nao kwenye mahusiano au uelewa mdogo alioaminishwa au mtu kuwachukia watu wa kabila fulani wote, au wenye rangi fulani n.k
So kwa wanaume hawa wapo makundi 3
Kundi la kwanza ni wanaume waliotendwa na wapenzi wao , wanaume hawa walikua mpenzi wao basi nae akalaghaiwa na kuchukuliwa na mwanaume mwingine wakati alikua anapenda kweli pengine. Sasa unakuta anaomba dua mpenzi aliyemtosa atendwe nay eye aumie kama anavyoumia, so wakimuona mwanamke yeyote mwenye mtoto asiyelelwa na baba basi wao hu assume nae alilaghaiwa na mwanaume asiyefaa kumtosa mpenzi wake wa mwanzo nae akamlaani na ‘karma’ kumuangukia na yeye kuzalishwa kisha kutoswa na mimba,
Kundi la pili ni wanaume waliokataliwa.. Hawa utakuta ni wale wamekataliwa na wanawake kutokana na kutokuwa na kipato au pengine muonekano au haiba (personality) yake, sasa anaona haikua haki yeye kukataliwa na kuacha laana kwa wanawake wote ‘wanaojiona’ kutopata bwana mwenye mapenzi ya dhati, so akiona mwanamke mwenye mtoto na aliyetoswa na mpenziwe basi huona hawa ndio wale wanaoringa mungu amewapa adhabu.
Kundi la tatu ni hao wameathiriwa na hearsay kuwa kila mwanamke mwenye mtoto hafai na wao kutokana na uelewa wao basi wakameza hivyo hivyo….
===============
So pengine wenye watoto bila baba ni careless wengi, au ni karma imewakuta pengine, lakini ni kwa nini uwachukie? Maana chuki hum consume yule anayechukia tu, yeye ka focus upendo wote kwa mwanae nae anampenda wewe si uishi maisha yako pia? Fikiria yanayokupa furaha na sio chuki na hasira
Na kama alikua careless, nadhani mwanaumepia ni careless zaidi maana alitakiwa amlee mwanae ila kamuacha
Na sio wote wenye watoto bila baba zao ni desperate kama inavyodhaniwa, wengine basi wameamua kuwa na watoto labda wanapenda kuwa huru kwa sababu zao wenyewe