Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,005
Am not a good writer mtanisamehe kwa uandishi wangu and am sorry for my inconvenience kutokana na threads zangu tofauti tofauti ambazo wengine uwa hawapendi.
Nimetokea kuumizwa sana na so called relationships na hii naona kama ni punishment kwa kuwa kipindi cha nyuma niliweza kuwaumiza ambao nilidate nao and i didn't care kwa kipindi hicho.....Naomba Mungu anisamehe kwa hili,sikuwa nawaamini wanaume kabisa na mpaka leo hii ila kuna ambao walionesha upendo wa dhati but i didn't pay them much attention......i do regret
Nimesema yote haya kutokana na shida nazopata sasa hivi yani nachukia kutafuta wanaume na hata kama ikatokea nikapata boyfriend uwa haizidi kukaa nae for more than two weeks na wengi ambao nakutana nao uwa naona wana mambo mengi......nilishacheat sana so najua yupi mkweli na yupi muongo
Wanaume mnapoona msichana anajitolea kukucare muwe mnajiongeza basi na sio kuanza kujiona kama mnapendwa sana na kwamba huyo msichana atakuvumilia kwa chochote.....maybe wapo ila mimi uwa siwezi#i think is one of my weakness
Kinachoniumiza why can't i stay in a relationship longer than two weeks?....
Kwa sasa nadhani nahitaji msaada wa kimawazo