Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo.
Kwa maelezo zaidi njoo pm
Juzi kati mke wangu alikuwa anapitia msongo wa mawazo sana, anasoma ukubwani kwahiyo kubalance biashara na kisomo kinamramba, kama wiki mbili anadeal na kesi ya wizi dukani kwake na mitihani...
Kwanza niweke wazi mimi Binafsi Sijafunga Ndoa ila kuna mwanamke naishi nae yapata kama miaka 2 (Uchumba sugu),
Ninayoyazungumza ni experience yangu tu binafsi yale ninayoyapitia hapa kwangu...
Wana jf hawapendi kuambiwa ukweli, ukweli unauma.
Kama tendo la ndoa mke wako anakupa kwa kukupangia siku,. Mara nimechoka, mara naumwa mara tantalila. Pole.
Mke wako anachepuka, hana tena hisia...
Habari zenu wakuu;
Kuna jambo linanipa tabu kidogo, kuna sister mgeni kanisani kwetu amekuja kuungana na ma sister wengine kuendeleza utume.
Sasa kila nikikutana naye huwa kama ananipenda hivi...
Mapenzi sio mchezo.
Kuna mushangazi mmoja niliingia nao kwenye mahusiano, kwa nia ya kuuoa. Ndoa ilikuwa tufunge nao majira ya kabla ya mwezi 10 kuisha.
Navumilia mengi ana badirika kama...
Mimi na mke wangu tumebarikiwa kuwa na mtoto mmoja, ana miaka 6 mpaka sasa
Tatizo la huyu mtoto ni mtoto ambaye hana uvumilivu, akitaka kitu fulani ni lazima mama yake ampe la sivyo atakuwa analia...
Kwenye swala la kupata mpenzi wewe shusha tu vigezo unapata haraka sana,
Shida yetu tunataka aliyekamilika sana.. tulizike na kidogo.
Mfano mimi hata kama nilitaka Manzi ambaye kwao ni Tajiri...
Kila nionapo picha Kama hizo huwa nabaki Kama nusu saa hivi,nikiwa nimeganda na kujiuliza,Ni furaha ya aina gani walengwa Wanayopata baada ya kuamua kwa mapenzi yao wenyewe wafanye kitu Kama...
Siku hizi wasichana wengi wazuri au warembo, ili kuwanasa, lazima uwahonge pesa nyingi.
Jamii imebadilika sana si kama zamani, ambapo mapenzi yalikuwa hayaangalii una pesa kiasi gani, mapenzi...
Mwarabu Hemedyphd anasema ndoa sio kitu anachokiamini katika maisha yake na yupo tayari kuishi miaka 100 na mwanamke lakini asimuoe/wasioane.
Akipiga story na #PlanetBongo ya @eastafricaradio...
Toka nijiunge JF miaka kenda sijawahi kuona thread yoyote ya kutoa pongezi kuwa mwanamke/mwanaume kapata mchumba humu Jamii Forums.
Huko kwenye jukwaa la love connect kuna nyuzi nyingi sana za...
Leo kijiweni naona walevi tu ndio wamekaa hakuna FACT kama jana. Mzee wa zamu leo kasema haya.
KUNA UKWELI?
Nimekaa na Wazee Apa Kijiweni Wanasema Mtoto Akizaliwa Ametanguliza Miguu Akija Kuwa...
Kwamba......
Mwanamke yoyote yule akijua tu anaenda Kushiriki Tendo la Ndoa au Tendo la Uzinifu na Mwanaume basi shurti lazima awe amevalia Chupi ama ya Rangi Nyeupe au Rangi ya Pinki tu? Na pia...
Hili swali nimeona nililete hapa jukwaani,
Huyu dogo nadhani atakua kwenye utafiti maana hajaoa ndio anatarajia ajifunge kitanzi mwakani.
Je, katika kuuliza juu ya wanawake kutoka kwa...
Yalitokea huku kwetu Kwamtogole, kuna dada mrembo wa kuvutia, aliolewa na jamaa mmoja mpole na mstaarabu sana. Yule dada alikuwa mzuri sana na hata akipita barabarani si wanaume tu hata wanawake...
Kwenye mapenzi ubunifu hauishi, hata hatujamalizana vizuri na utundu wa kufinyiwa kwa ndani (utalia kama mtoto 😁), Lishaibuka jipya saizi kuna utundu mpya umebuniwa.
Pipi Hizi hutumika pale...
Utakuta mwanamke yupo katika mahusiano anayoamini yanaelekea katika ndoa, ila baada ya muda utakuta mwanamke ana mimba au mtoto huku mhusika akiwa amebadili mawazo ya kumuoa.
Hapo lawama nyingi...
habar wana MMU,
Nikuwa mpnz wangu amechukia sana baada ya mimi kumuambia hivi,,sio mara ya kwanza,,Lakini nazan ni ukwel kua sijapanga kua nae hapo baadae,, mm ni mwanafunz wa chuo nayeye pia..
Habari Wana JF. Nimehitimu mwaka huu chuo ngazi ya shahada, lakini Nina mkasa wa mahusiano naomba ushauri wenu waungwana.
Nilideti na msichana toka niko mwaka wa kwanza lakini siku za kwanza...