Yani mkuu watu uliokuwa nao ww whtsap ni sawa na tuliokuwa nao sisi?!Tembelea status za whatsapp utaelewa nilichouliza
Huu mtindo sijui umeanza lini ila naona mwendo wa her best pic, his best pic katika status za raia. Kunanini leo kinatokea duniani? Wadada ndio wako mstari wa mbele hebu tujuzane tafadhali.
sielewi
Tembelea status za whatsapp utaelewa nilichouliza
atakayeelewa naomba ani tagi tafadhali
Unatumiwa message kama hii
[emoji14] Accept this "BEST PIC CHALLENGE"
: Send me your best pic
[emoji14]Then I'll post it on my status update saying "His/her best pic[emoji14]
: And forward this message to all your friends including me if I am your friend
: At the end you will get an amazing picture collection of your Friends.
P.S.
Mkuu na wewe iga mambo ya vijana
Jamani tushakuwa wahenga...hayo mambo ya vijana. Mimi wala sijatumiwa hio kitu nahisi watu nilionao kwenye phonebook yangu wote wahenga kama mimi.Namimi nimetumiwa nimeona nikaushe tu mana sijaielewa.
😀😀 Labda watakuwa ni wahenga hahahahJamani tushakuwa wahenga...hayo mambo ya vijana. Mimi wala sijatumiwa hio kitu nahisi watu nilionao kwenye phonebook yangu wote wahenga kama mimi.
Marinda ni ile mikunjo mikunjo elastic material iliyoko kwenye sehemu ya haja Kubwa. Hivi vitu ndivyo vinayozuia tusijambe jambe na kunya kunya hovyo kama bata. Hope nimekujibu vizuriMi jamani sielewi maana ya D😀😀😀 ,na marinda...huwa naona aibu kuuliza msaada
atakayeelewa naomba ani tagi tafadhali
Yani mkuu watu uliokuwa nao ww whtsap ni sawa na tuliokuwa nao sisi?!
Unatumiwa message kama hii
[emoji14] Accept this "BEST PIC CHALLENGE"
: Send me your best pic
[emoji14]Then I'll post it on my status update saying "His/her best pic[emoji14]
: And forward this message to all your friends including me if I am your friend
: At the end you will get an amazing picture collection of your Friends.
P.S.
Namimi nimetumiwa nimeona nikaushe tu mana sijaielewa.
Mkuu na wewe iga mambo ya vijana
Jamani tushakuwa wahenga...hayo mambo ya vijana. Mimi wala sijatumiwa hio kitu nahisi watu nilionao kwenye phonebook yangu wote wahenga kama mimi.
Hamna namna itabidi uige tu😀😀 Labda watakuwa ni wahenga hahahah
Nina mda mrefu sijajiunga kifurushi cha internet. Siku nikijiunga ntakwambia ni nini hicho.Huu mtindo sijui umeanza lini ila naona mwendo wa her best pic, his best pic katika status za raia. Kunanini leo kinatokea duniani? Wadada ndio wako mstari wa mbele hebu tujuzane tafadhali.
kweli kabisa mkuu maana mi ata nilikuwa sielewi hiyo challengeJamani tushakuwa wahenga...hayo mambo ya vijana. Mimi wala sijatumiwa hio kitu nahisi watu nilionao kwenye phonebook yangu wote wahenga kama mimi.