Love is not real

Love is not real

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Wasalaam wakuu!

Niko ova 30 now, Nimekua na mahusiano na wanawake wengi ila ukweli nahisi siko kama wengine naosikia wakilia mapenzi yanawatesa kiasi hata cha kutaka kujiua.

Sijawahi kuwa na feelings hizo watu usema na kuandika kuhusu mapenzi.

Mimi husumbuliwa na nyege tu, na nikishamgegeda mdada naona mission has been completed.

Wakuu ktk hali kama hii, je niko normal?

Au neno Love is not a Life reality, But instead is a human inventory feelings to manipulate human paychology?

Tafakuri yenu itanijenga, karibuni.
 
Mkuu nilishaanza kukuelewa, umeweka tu kimombo folder limepotea.
 
Hamna mtu asiependa, hata wale manunda wanapenda tu wakikutana na mtu flani. Kama huna hisia nimtie mamaako risasi ukiwa unashuhudia halafu upotezee hapo ntakuona kweli adolf hitler!
 
Wanawake wanakuvutia pumzi tu, bado huwajui vizuri
 
Upooo sahihii xanaa amnagaa mapenzii n mauongoo ya watuuu 2uuu!!!

Kwa hiyo bass Ruge kilichomliza ni papuchi au alikua anatafuta kiki.
Usiseme hayapo wakati bado upo hai, hujui kesho huenda ikawa zamu yako kulialia machozi
 
Kwa hiyo bass Ruge kilichomliza ni papuchi au alikua anatafuta kiki.
Usiseme hayapo wakati bado upo hai, hujui kesho huenda ikawa zamu yako kulialia machozi
Hamnagaa!!! Mapenz ndgu!!! N kiki 2uuuu kama wanawakee ndooo hawapendii kabsaaaaa!!! Huyo cjui ndo rugee n ujingaa wakee 2uuu ndioo unamsumbuaa
 
Time will tell na hiyo human invention yako!
 
Hiyo inatokeaga sana katika kipindi flani cha maisha na hiyo ni kwasababu haujapata upele na ukiupata utajikuna tu,we subiri
 
Back
Top Bottom