Mambo zenu.
Haya sasa toa maoni yako hapa.
Wewe ni mwanachuo wa chuo x. Unafahamiana na binti mmoja wa chuo hicho hicho (chuo x), kwa bahati nzuri wote mnajikuta mko program moja (tuchukulie...
Natumaini mko wazma humu ndani...niende kwenye mada moja kwa moja ...zawadi n kitu kizuri ktk mapenz ,lkn HV pale mwanamke anapoonekana kumpa zawadi kwa sana mpenz wake kama vile nguo ,viatu na...
Mara nyingi hutokea uume kusimama pasipo kutarajia, hali kama hii inapokutokea hasa ukiwa mahali kwenye mkusanyiko wa watu kwa kweli inatia aibu,
Ni namna gani unaweza zuia aibu hii pale uume...
Kwenu wana JF wenzangu, natumatumaini hamjambo.
Nimekuja na swali ni dogo na nikubwa kwakuwa kidogo linahisia ndani yake.
Swali lenyewe linasema hivi;
Endapo ikatokea maisha yako yakaanza...
Katika suala la mahusiano nalo lina nyota zake.hili nmelifaham muda na leo nmepata uthibitisho toka kwa Ustaadhi Chomeko mtaalam wa nyota za mapenzi.
Kuna jamaa yangu ofisini mwaka juzi alitaka...
Naishi na mama mkwe wangu kwa muda wa miezi mitatu sasa, mama alitoka mkoani kuja kutusabai hapa jiji Dar.
Tabia ya mama kweli nashindwa kuielewa, mama kawa mdokozi. Mimi na mke wangu ni...
Hapa nyumbani tuna binti tupo nae kama miezi mitatu imepita siku moja nilimuuliza kama amechukua pedi zangu maana nilipoziweka sikuziona akaniambia hapana dada mimi toka nije hapa kwenu sijawai...
Habari wana JF,
Nachukia sana hii tabia ya wanawake waliolewa kuiba namba za michepuko ya waume zao na kuanza kutoa matusi na vitisho kwa michepukoo ya waume zao.
Nawauliza nyie wanawake (Main...
Wanajamvi, maoni yenu tafadhali.
Mchana nilimtaarifu mke wangu kuwa usiku nitahitaji huduma, akadai kuwa vidonge siku hizi vinamkosesha hamu ya kula n.k. hivyo akachome sindano, nikampa hela na...
Kuna mizinga wameiandaa wenyewe,ukiwatokea tu mara Paaa!
1.Mzinga wa usaili
Huu mzinga wa kuangalia utoaji wako wa pesa kama unaridhisha au la,hapa usipoangalia unaachika mchana kweupe...
Hakuna mtu ambae atakuja kuishi maisha yako kama usipoyajali sasa.Umri kabla haujaoa ni umrifursa...
1:Kwa wale waamini Mungu, ni kipindi cha kujifunza kwa kina na Mambo ya Mungu ili kukuandaa...
wadau mnakumbuka miezi kadhaa iliyopita nlikuja na ombi hapa la kusaidiwa kutafuta mke? nikaja kuwaambia nimepata nikashukuru. then juz juz hapa nikawaambia yule mchumba alikuwa kama si jini ni...
Uko kwenye ndoa, ni mwaka wa tano huu hakuna dalili za ujauzito. Wazazi wanaanza kumkashifu mke kuwa anapoteza muda wa mtoto wao. Bila kufiria mwenye tatizo ni nani.
Mazungumzo ni mleta mwafaka...
Yaani kama amehangaika mpaka amekudukua whatsapp au hata Id yako hapa J.f wala usipanic,huyu ni sawa na mtu ambaye
hatumii kinga halafu anaenda kupima ngoma. Hakikisha unampa kile alichokuwa...
Kama ni mwanadada jilinganishe kwa sura, shape, rangi n.k. Usikute jamaa alikuwa kaoa miss fulani hivi, sasa we mwenzangu na mie huna shape, unatembea kwa kudundadunda huku ukilibana tumbo kwa...
Juzi kati hapa nilishtuka usiku saa saba,nililala mapema sana,nikahisi kuchoka kulala nikaenda kulala kwenye kochi sebuleni,nikapitiwa usingizi kidogo mara nikafumbua macho utafikiri nimeamshwa...