Aina za mizinga!

Aina za mizinga!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,662
Reaction score
7,834
Kuna mizinga wameiandaa wenyewe,ukiwatokea tu mara Paaa!
1.Mzinga wa usaili
Huu mzinga wa kuangalia utoaji wako wa pesa kama unaridhisha au la,hapa usipoangalia unaachika mchana kweupe! ukipita hapa unaingia stage ya pili
2.Mzinga wa matonya
Hapa jiandae utapigwa mizinga isiyo kuwa na akili yaani haina kichwa wala miguu hii ni kutokana na ufaulu wako kwenye hatua no.1

3.Mzinga sikutaki!
Usithubutu likukute hili ndugu yangu, hii huwa inawalipua wale pendapenda wanaolazimisha kupendwa sasa usiombe penda usipopendwa. hapa wahusika mmenielewa
4.Mzinga mwana ukome
Huu mzinga ni kiboko kwa wale ving'ang’anizi ambao no.3 hawajakoma! hapa dau lake kuanzia 500000-10000000.
5.Mzinga byebye
Huu mzinga kuwa makini siku unalipuliwa ndio siku yako ya mwisho kwa hiyo kama una machale utakaa nao mbali. mzinga huu mara nyingi husababisha wanaume kujinyonga au wanawake kuwekwa kwenye majaba.
n.b. Mizinga yote hiyo papuchi usijali unapewaaaaaa tu.
Huu siuweki kwenye list yangu: Eti mzinga nisomeshe,mtauelezea wahusika wenyewe!
km kuna.niliyoisahau mnisaidie jamani,Asbh njema kazi njema.
 
Mzinga wa nyuki, huu ukileta janjajanja kula vya wanaume haliyakuwa Papuchi hutaki kutoa, mwisho wake ni mbaya sana.
 
Mimi ni moja kati ya watu wagumu sana kuhonga. Nimejaaliwa roho ya kichaga
 
sijawahi kuhonga, nawaza siku nikija okota demu mpenda pesa itakuaje
 
Aisee nimeipenda hiyo mizinga namba tatu na nne. Yaani mtu mdogo mdogo anabwaga manyanga bila kuambiwa sikutaki.

Pia msiache kuwapongeza kwa ubunifu sababu huo ni ubunifu wa hali ya juu.

[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Tutarudi baada ya shughuli,kutoa aina ya mizinga iliyobaki.
 
Bado sijaona maelezo ya mzinga wa nyuki, huu umekaaje mkuu...

Au ndio ule unamualika mpenzi wako anakuja na pickup imejaa rafq hahaaa
Najaribu kuwaza kwa sauti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom