Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwenye nyashi njoo dm
2 Reactions
48 Replies
1K Views
Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta Hii ni historia ya kweli na sio fiction. Katika maisha yangu...
14 Reactions
54 Replies
5K Views
Mlioko kwenye ndoa mtuambie faida ya kuoa na wanawake kwanini mnapenda sana muolewe au ndo huwa mnatafuta pa kuponea?????
12 Reactions
71 Replies
2K Views
Tupo katika msimu wa baridi kali, jana nilikuwa Dodoma kikazi, nikamaliza mambo yangu muda ukiwa umesonga sana nikaona busara ni kulala ili asubuhi na mapema nianze safari kurejea mkoani kwetu...
74 Reactions
171 Replies
34K Views
Kipindi cha nyuma tulikuwa tuki sex anatoa sana miguno yaani show inamchanganya kiasi cha kwamba anaropoka maneno mengine ya ajabu.sasa mimi hiyo hali ikanifanya nijiamini zaidi kwamba namfikisha...
5 Reactions
101 Replies
15K Views
Kabla hujaanza kulalamika kuhisu pesa ya mkeo inaenda wapi fatilia vitu hivi kwanza usijekuonekana miyeyusho ◇ Kuna mashuka mangapi ndani, au unajua kujifunika tu na haujui limetoka wapi?😁 ◇...
14 Reactions
25 Replies
1K Views
Mfalme amesema: “Anayeonywa mara nyingi akawa mkaidi, ataangamia ghafla asipone tena.” Naongea na wewe, unayepiga kampeni ili kuwafanya watu wakatae ndoa. Pole sana kwa changamoto ulizokutana...
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Kuna hili jambo limenikuta. Mwaka jana binti yangu alimaliza kidato cha nne shule ya serikali ambayo ni mchanganyiko wasichana na wavulana, baadae akapangiwa kidato cha tano shule pia...
37 Reactions
217 Replies
7K Views
Watu wenye malalamiko ya ndoa na mapenzi zaidi na ambao wanatembea hadi na mafuta kwa ajili ya wagoni wao ni maskini au wa kipato cha kawaida, watu matajiri wao wakishindwana kwenye ndoa au...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna jirani yangu hapa ameoa,ana kama miaka 3 tangu afunge ndoa, lakini cha kushangaza kila mahali ni kushikana shikana na kubusiana. inakera sana tabia hii.
4 Reactions
31 Replies
735 Views
Habari za usiku wanaJamiiForums, Poleni na mihangaiko ya kutafuta maisha.Kuuliza sio ujinga,nauliza kuna mahusiano ambayo yamewahi kutokea hapa JamiiForums ikapelekea watu wakafunga na ndoa...
6 Reactions
228 Replies
17K Views
Kwa wale tuliosoma majohe praimari, High libido ina maanisha hali yakuwa una uhitaji usio wa kawaida wa kufanya sex mara kwa mara. Kwa upande mwingine ukiwa na mwenza wa namna hii, unaweza...
13 Reactions
122 Replies
5K Views
Wadau zama hizi za teknolojia ni rahis sana mtu kujua hali ya timu pinzani ikoje ili waje na mfumo gani wakushambulia, hivyo basi usichukulie poa WhatsApp status za mpenzi wako zisome tena kwa...
8 Reactions
38 Replies
6K Views
Ujio wa under 20 mango g umeleta competition kubwa sana kwa vijana hapa MMU. Kilichonistua hata mkongwe kama Asprin nae anakanyatia haka ka binti kenye swarga za ha. Yaani dia kanaita diha mwe...
6 Reactions
1K Replies
78K Views
Ni binti ambae tumedumu nae miaka mitatu kwenye mahusiano tumekuwa tukipitia changamoto nyingi sana kwenye mahusiano yetu hasa suala la dini na wazazi lakini bado tumekuwa tupo pamoja na kupigania...
15 Reactions
219 Replies
23K Views
Wanawake wa zamani Miaka ile tunakua ili wanawake wanasifa zao ambazo kwa sasa zimepotea na kuondoa ladha flani ya mapenzi au mahusiano. 1. Ukimtongoza mwanamke hawez kukubalia mara moja lazima...
18 Reactions
55 Replies
8K Views
Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo. Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa. Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi...
59 Reactions
403 Replies
20K Views
Kwanini wanawake wa kiafrica Zaidi ya %99.99 Ni wanafki sana hujifanya hawajui chochote wakati wa kufanya mapenzi wanajilazaga kitandani pyee km magogo hawatoi ushilikiano kwa waume/wapenz wao na...
2 Reactions
114 Replies
10K Views
Shida ni kwamba wakati mtu anaanza kukusaliti wewe ndio unakuwa mtu wa mwisho kujua.. ni heli maumivu ya mwili kuliko maumivu ya moyo wa mapenzi... Endeleeni kupendana
10 Reactions
29 Replies
1K Views
Wakuu mamboz! Mimi ni kijana wa kiume sijui kitu chochote namna ya kufanya tendo , nifundisheni kuanzia mwanzo mpaka mwisho na jinsi ya kumcare demu, n.b ikiwezekana nifundisheni na style
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…