Je, tunatafakari juu ya kiapo cha ndoa?

Je, tunatafakari juu ya kiapo cha ndoa?

bandamo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,930
Reaction score
1,370
Habari wana JF,

Tunapokuwa tunafunga ndoa kanisani je huwa tunajiuliza juu ya kiapo hiki zaidi ya mara moja au kuokoa muda tunakubali tu bila kutafakali.

Mimi _ _ _ _ ninakuchukua _ _ _ _ kuwa mke/mme tukae pamoja katika ndoa takatifu nitakupenda, nitakutuliza na kukutunza katika ugonjwa na uzima na sitashughulika na wengine, nitakaa na huyu peke yake mpaka kufa.

Sababu ya ndoa sikuwa muishi kama kaka na dada je inapotokea mmoja kati yao amepoteza uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kwa sababu yoyote ile iwe maradhi, ajari nk. Huyu anaye baki je nafsi yake haijadhulumiwa milele mpaka kifo. Jambo hili viongozi wa dini hawalioni kama kuna haja ya kubadili ili aliye salama aoe/aolewe kwa kuwa ni dhahiri utatoka nje ya ndoa tu kwa kujificha.

Kwenu wajuvi saidieni kudadavua
 
Habari wana jf
Tunapokuwa tunafunga ndoa kanisani je huwa tunajiuliza juu ya kiapo hiki zaidi ya mara moja au kuokoa muda tunakubali tu bila kutafakali. Mimi _ _ _ _ ninakuchukua _ _ _ _ kuwa mke/mme tukae pamoja katika ndoa takatifu nitakupenda, nitakutuliza, na kukutunza katika ugonjwa na uzima na sitashughurika na wengine, nitakaa na huyu peke yake mpaka kufa. Sababu ya ndoa sikuwa muishi kama kaka na dada je inapotokea mmoja kati yao amepoteza uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kwa Sababu yoyote ile iwe maradhi, ajari nk. Huyu anaye baki je nafsi yake haijadhulumiwa milele mpaka kifo. Jambo hili viongozi wa dini hawalioni kama kuna haja ya kubadili ili aliye salaama aoe/aolewe kwa kuwa ni dhahiri utatoka nje ya ndoa tu kwa kujificha
Kwenu wajuvi saidieni kudadavua
Mungu hawezi kukupa jaribu usiloliweza ikitokea anakupa mlango wa kutokea...
 
Back
Top Bottom