Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, Mama anapotaka kutoa mimba, baba humwambia, "Tafadhali usitoe mimba yangu!" Baada ya mtoto kuzaliwa na kukua, naye anasema, "Nisingekuwa hai hii leo kama si baba kumzuia mama kutoa mimba...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Huu ni mtego ambao wanaume wengi hua wanauingia kwa wanawake zao kwa kutaka kuwaridhisha kwa kila kitu ili waonekane wanapendwa zaidi na kutowasaliti kwenye mahusiano yao. Lakini kwa bahati mbaya...
40 Reactions
131 Replies
21K Views
habarini wana jamii. kuna hii tabia moja inakera sana na ipo unakuta umetoka na mpenzi wako, haijaloshi wewe ni KE au ME labda mmeenda katika club za usiku ama katika kumbi yoyote ile ya starehe...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Mume kamfumania mkewe club akila bata na Ex wake ambae amerudi kutoka majuu. Mke alienda kula bata na Ex wake club huku nyumbani kaacha kichanga cha miezi nane. Mume akatonywa kuhusu mtoko...
4 Reactions
102 Replies
10K Views
Wadada wa jf umeshawahi kudate na wanaume hawa? 1.Mwanaume mwenye nyoka [emoji216] kubwa alafu wakati wa tendo la ndoa anafanya sex lisaa lizima mpaka papuchi inawaka moto majasho yanamtiririka...
48 Reactions
298 Replies
31K Views
Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au...
16 Reactions
97 Replies
33K Views
Tatizo LA kibamia limeibuka miaka hii ya utandawazi....Hakuna mabadiliko ktk uumbaji isipokuwa kuna mabadiliko baada ya uumbaji....Wanawake wanye kudai kuna vibamia ndio hao wenye mabwawa..yan...
6 Reactions
30 Replies
7K Views
Imepita miaka 17 tangu nikutane na kupotezana na huyu Dada. Pia ni miezi kadhaa toka niondoke nchini na kwenda Moja ya nchi za Afrika Magharibi kikazi, nimerejea nyumbani mwisho wa wiki iliyopita...
17 Reactions
58 Replies
5K Views
Wana JF Ukimwambia msichana unataka upeleke barua ya posa kwao halafu yeye akakujibu KWANI NLIKWAMBIA NATAKA KUOLEWA utajisikiaje au utachukua maamuzi yapi. kumbuka alikubali muwe kwenye...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wasalam wakuu, Bila kupinda pinda ngoja niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu, Ninapokuwa faragha na shemeji/wifi yenu huwa anapenda sana neck kisses and other romantic kisses, rangi...
1 Reactions
156 Replies
27K Views
Wana Jf, Asalaam. Nikiwa kwenye mizunguko yangu wiki hii nikatakiwa kufika katika kanisa katoriki Maximillian Kolbe Mwenge, kwakuwa sikuwahi kufika na nilielekezwa tokea mbari basi nilianza...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Celine Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ". Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lakini...
17 Reactions
480 Replies
110K Views
Kuna mwanamke nimekuwa nae katika mahusiano ya kimapenzi takribani miezi mitatu ila hataki kufanya mapenzi anadai yeye ni bikra na kuwa hayuko tayari kabisa kishiriki hilo tendo na anadai kuwa...
2 Reactions
63 Replies
7K Views
Jamani habarini. Nipo Arusha natafuta mwanamke wa kudate tu na kusaidiana mambo mengine. Ndoa majaliwa. Nina miaka 27 mfanyabiadhara na masters mbili za biashara. Awe anaishi Arusha au...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mwanaume nafanya naye kazi idara moja, anaonekana ni 40+ kwa umri na tayari ameoa miaka kadhaa iliyopita. Amekuwa akinirushia kiasi tofauti tofauti cha fedha Tshs100,000/= mpk 150,000/=...
2 Reactions
138 Replies
12K Views
Wakuu, nina mwaka mmoja ndani ya ndoa na Mungu alitujalia mtoto wetu wa kwanza miezi miwili iliyopita. Nilikua sijawahi kuchepuka toka nioe na nilikua sina wazo hili.Sasa toka mke wangu ajifungue...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Miria Makeba says it all...... Hapo zamanii wewee hukuwa hiiivyoo. ..... Ni sababu ya ......... (waijua mwenyewe it aje nafsi ni mwako) Kwanini leo nimekukumbusha kuwa hapo zamani haukuwa...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Nina mpenz wangu nampenda sana tu na huwa najitahidi kadri ya uwezo wangu kumtimizia mahitaji yake kila ninapopata pesa. Kitu kinachonichosha ni kwamba kila ninapokutana nae kwaajiri ya...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nimeamua rasmi kutafuta mchumba na kuoa ikimpendeza Mungu baada ya pilika pilika nyingi za masomo, mimi tayari nimeshaajiriwa government. Naweza nikasimama kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu wa hapa jukwaanii. Kila siku huwa najiuliza kwa nini watu wengi wanaingia katika utamaduni ambao binafsi nauona kama utamaduni wa kigeni (UZUNGU) kwa kufanya sherehe au tafrija...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…