Nimechupuka mara ya kwanza, nimenogewa

MOSHIFST

Senior Member
Jun 4, 2014
112
250
Wakuu, nina mwaka mmoja ndani ya ndoa na Mungu alitujalia mtoto wetu wa kwanza miezi miwili iliyopita.

Nilikua sijawahi kuchepuka toka nioe na nilikua sina wazo hili.Sasa toka mke wangu ajifungue nikawa na ukata sana, but nimevumilia na nilikua sina shida.

Sasa wiki moja iliyopita nilisafiri nikaenda chuo flani hapa nchini, nikamkuta rafiki yangu pale tukawa tunapiga stori za maisha but tukajikuta tumeingia story za mademu bila kujua.

Nilijikuta napata tamaa ya kugonga balaa, nilienda town kununua zawadi (nguo) za mke wangu, hulary, niliingua dukani nikakutana na binti mkali balaa, nilinunua nguo nikaondoka lakini nikachukua namba yake nikijidai akipata mzigo mpya anitumie picha.

Nilisafiri kurudi home na nilifika nyumbani, mke wangu akachukua nguo vizuri tu sasa naogopa kumfukiria mke wangu wakati nikiwa naye maana yeye hajapona. But pia naona mke wangu kama anataka hivi but mimi sitaki maana sijui mtu akijifungua inachukua miezi mingapi kurudi kwenye hali nzuri ya kugegedwa.

Anyway, turudi kwenye stori, bana usiku kupita nikamtext yule binti, bana akajibu lakini sikumwambia kitu sasa juzi nikasafiri kwenda kule kule yule binti nilimkuta, bana, uzalendo ulinishinda nikamwambia laivu, nataka papuchi, alibisha kidogo baadae kakubali, tukapanga shoo, nikaenda kwenye mishe zangu badae jioni nikarudi, binti naye kumbe amezimika.

Akasema najua umeoa na nafahamu hili naomba mkeo anisamehe roho iliniuma lakini wanaume tuna vichwa viwili tu kimoja kikiwa active kikingine kinakuaga hakifanyi kazi, wakati huu kichwa cha chini kilikua active bana tukaenda lodge. Nilikua na rough riders zangu pair mbili tulianza gemu kali balaa nilipiga bao tatu mfululizo bila kupumzika, yaani kazi ilikua kubadili kondom tu.

Binti hakuamini akisema hajafanyiwa hivi toka kazaliwa alilia kwa furaha nikagundua na yeye alikua na ukame "ugwadu" balaa wakati namaliza bao zangu tatu yeye akikua karibia tano.

Huu mchezo ukanilewesha kwa raha Dah! nilipagawa, huu mchezo nimenogewa, nataka nirudie tena natamani niache lakini nashindwa.
 
Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,350
2,000
Duh yani hata kale kamajuto ka dakika chache hukukapata!??

Kweli wa kwako wamekurudia mara saba.
.
.
.
Inawezekana kuacha lakini ukiamua!

Heri ya siku ya kumbukumbu ya UKIMWI duniani.

NB: Umaskini upo mlangoni unabisha hodi
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
19,696
2,000
Mkuu kwanza kama mwanamke amejifungua salama na hakuna complications zozote, baada ya siku 40 unaweza kuanza kula tunda.

Kama umezidiwa na hamu kiasi hicho, na unahisi kidonda cha shemeji hakijapona fanya mutual masturbation.

Kuchepuka kwako usiusingizie huu uzazi.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,044
2,000
Muoe kabisa Mkuu uwe na wake wawili halafu unamuhamishia hapo town kwa raha zako. Sasa hapo umecheza na daruga imagine ungekuwa peku peku!!! Utamu mpaka machoni Mkuu.

Wakuu, nina mwaka mmoja ndani ya ndoa na Mungu alitujalia mtoto wetu wa kwanza miezi miwili iliyopita.
Nilikua sijawahi kuchepuka toka nioe na nilikua sina wazo hili.
Sasa toka wife ajifungue nikawa na ukata sana,bt nimevumilia na nilikua sina shida,sasa wiki moja iliyopita nilisafiri nikaenda chuo flan hapa nchini,nikamkuta rafiki yangu pale tukawa tunapiga stori za maisha bt tukajikuta tumeingia story za madem bila kujua.

Nilijikuta napata tamaa ya kugonga balaa,nilienda town kununua zawadi (nguo) za wife,hulary,niliingua dukani nikakutana na binti mkali balaa,nilinunua nguo nikaondoka lakini nikachukua namba yake nikijidai akipata mzigo mpya anitumie picha.Nilisafiri kurudi home na nilifika home wife akachukua nguo vzuri tu...sasa wife naogopa kumfukria wakati nikiwa naye maana yeye hajapona.But pia naona wife km anataka hivi bt mie staki maana sjui mtu akijifungua inachukua miezi mingapi kurudi kwenye hali nzuri ya kugegedwa.

Anyway,turudi kwenye stori,bana usiku kupita nikamtext yule binti,bana akajibu lakini sikumwambia kitu...sasa juzi nikasafiri kwenda kule kule yule binti nilimkuta,bana, uzalendo ulinishinda nikamwambia laivu,nataka papuchi,alibisha kidogo badae kakubali,tukapanga shoo,nikaenda kwenye mishe zangu badae jioni nikarudi,binti naye kumbe amezimika...akasema najua umeoa na nafaham hili naomba mkeo anisamehe...roho iliniuma lakini wanaume tuna vichwa viwili tu kimoja kikiwa active kikingine kinakuaga hakifanyi kazi,wakati huu kichwa cha chini kilikua active...bana tukaenda lodge..
Nilikua na rough riders zangu pair mbili...tulianza gemu kali balaa...nilipiga bao tatu mfululizo bila kupumzika,yaani kazi ilikua kubadili kondom tu...
Binti hakuamini...akisema hajafanyiwa hivi toka azaliwa...alilia kwa furaha..nikagundua na yeye alikua na ukame "ugwadu" balaa wakati namaliza bao zangu tatu yeye akikua karibia tano.Huu mchezo ukanilewesha kwa raha....Dah! nilipagawa,huu mchezo nimenogewa,nataka nirudie tena...natamani niashe lakini nashindwaaa.....
 
Sent Kb

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
4,653
2,000
Kwa uandishi huo, utakua uliandika huku ukiwa unakamua bao la tatu!!
 
luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
11,561
2,000
Nyambafu unambemenda mtoto kwa ujinga wako? Majibu ni hapa hapa duniani kuna siku wife wako atajua nae agawe kwa ex wake ndo utajua dunia iko fair au lah!
 
kodian

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
977
1,000
Wakuu, nina mwaka mmoja ndani ya ndoa na Mungu alitujalia mtoto wetu wa kwanza miezi miwili iliyopita.
Nilikua sijawahi kuchepuka toka nioe na nilikua sina wazo hili.
Sasa toka wife ajifungue nikawa na ukata sana,bt nimevumilia na nilikua sina shida,sasa wiki moja iliyopita nilisafiri nikaenda chuo flan hapa nchini,nikamkuta rafiki yangu pale tukawa tunapiga stori za maisha bt tukajikuta tumeingia story za madem bila kujua.

Nilijikuta napata tamaa ya kugonga balaa,nilienda town kununua zawadi (nguo) za wife,hulary,niliingua dukani nikakutana na binti mkali balaa,nilinunua nguo nikaondoka lakini nikachukua namba yake nikijidai akipata mzigo mpya anitumie picha.Nilisafiri kurudi home na nilifika home wife akachukua nguo vzuri tu...sasa wife naogopa kumfukria wakati nikiwa naye maana yeye hajapona.But pia naona wife km anataka hivi bt mie staki maana sjui mtu akijifungua inachukua miezi mingapi kurudi kwenye hali nzuri ya kugegedwa.

Anyway,turudi kwenye stori,bana usiku kupita nikamtext yule binti,bana akajibu lakini sikumwambia kitu...sasa juzi nikasafiri kwenda kule kule yule binti nilimkuta,bana, uzalendo ulinishinda nikamwambia laivu,nataka papuchi,alibisha kidogo badae kakubali,tukapanga shoo,nikaenda kwenye mishe zangu badae jioni nikarudi,binti naye kumbe amezimika...akasema najua umeoa na nafaham hili naomba mkeo anisamehe...roho iliniuma lakini wanaume tuna vichwa viwili tu kimoja kikiwa active kikingine kinakuaga hakifanyi kazi,wakati huu kichwa cha chini kilikua active...bana tukaenda lodge..
Nilikua na rough riders zangu pair mbili...tulianza gemu kali balaa...nilipiga bao tatu mfululizo bila kupumzika,yaani kazi ilikua kubadili kondom tu...
Binti hakuamini...akisema hajafanyiwa hivi toka azaliwa...alilia kwa furaha..nikagundua na yeye alikua na ukame "ugwadu" balaa wakati namaliza bao zangu tatu yeye akikua karibia tano.Huu mchezo ukanilewesha kwa raha....Dah! nilipagawa,huu mchezo nimenogewa,nataka nirudie tena...natamani niashe lakini nashindwaaa.....
Umekutana na malaya haf eti unmsfie hajawah Kgongw mda heb tulia na ndoa bs hv mke wako akianz hvo utafrhi au
 
SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
131,532
2,000
Unapata wapi ujasiri wa kujisifia uzinzi mkuu? Umemfungulia shetani mlango na ndoa hiyo itaandamwa na misukosuko tu. Na kwa vile Karma huwa haimpunji mtu, mkeo naye atagongwa tu si ajabu na tigo juu. Na siku ya siku mmoja wenu anapuuzia kinga paaaap! wote mnajikuta mnagawiana dozi za ARV. Sad !!!
 
Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
7,395
2,000
Bao3 mfululizo,yaan unamaanisha umepiga cha kwanza ukaunga cha pili hapohapo then cha tatu duuh,hii kali,mi najua unaweza unga viwili,ila cha tatu duuh,we kwel nuksi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom