Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Wana JF
Ukimwambia msichana unataka upeleke barua ya posa kwao halafu yeye akakujibu KWANI NLIKWAMBIA NATAKA KUOLEWA utajisikiaje au utachukua maamuzi yapi. kumbuka alikubali muwe kwenye mahusiano na anafunguka kwako anataka uwe unampa hela ya matumizi ukizingatia kuwa lengo lako sio kuwa naye tu kwenye mahusiano unataka ufike mbali kama kumchukua awe mke.