huu msemo ni kwel na sisi watu wa zaman tuna ushahidi nao kabisa. mnapokuwa wawili maeneo yenu ya faragha ni vyema sana kukumbuka hili. wengi ambao walikuwa au wamekuwa wakifanya staha kwa wake...
ni siku kadhaa nilikuja kulalamika hapa kuwa kuna mwanada anakuja ofisni kwangu huku amevaa nguo inaonesha likitumbua lake limetutumuka/limechachamaa hivi. nikasema akina dada siku hizi mnakula...
Wewe ni mweusi kama kiwi unataka tena kuowa mweusi kama mkaa hapo mtatengeneza giza!kama wewe ni mweusi ukiowa mtu mweupe itapendeza zaidi,kama wewe ni mrefu ukiowa mfupi itapendeza zaidi,kuna...
wakuu, kuna binti nlikuwa namuelewa so ikabidi nimfate nimueleze kilicho rohoni mwangu, basi mtoto akawa anarukaruka, anajidai mara sms hajibu, na mambo mengi tulianza taratibu kuzoeana lakini...
Mpenzi wangu wa zamani alikua anamsumbua sana mke wangu, mara amtukane, mara ampigie simu za matusi, mara atume meseji kwangu za kumtukana mke wangu. Nikaona sio kesi ngoja niingilie ugomvi...
Nina kama miezi mi nne toka nihamie huu mtaa baada ya kupata nyumba yenye gharama nafuu ya pango. Nyumba ya jirani kuna kijana mmoja ambae alinizoea ghafla akanisaidia kufunga dishi nikamtuma...
Gudume nishakuwa mtu mzima mimi, nahitaji wife wa kuishi naye... kuzaa na kule watoto naye.kwenye shida na raha avumilie nami.asinifanyie kama ajuaye atake sababisha mi nijue.anipe mapenzi...
Ninapokaa ni karibu na mto. Vijana wanaofanya vibarua huja kuoga jioni baada ya kazi. Kuna vijana wameweka kijiwe hapo kwa lengo la kuwaangalia wenzao wakioga na baada ya hapo huanza kupiga stori...
Salaam wakuu......
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, nilipokuwa o' level nilipata msichana fulani hivi ambao ni miongoni mwa wale ambao wanakuwa na marafiki wakiume tu na sio...
Wasalaam wana jukwaa wote wa jukwaa hili pendwa la MMU,
Ni imani yangu kwamba wote wazima leo ningependa kuwashirikisha hili kwa pamoja ili tujikumbushe majukumu yetu kama wanaume.
Kuna hii...
Hatari: Aina 10 za Wanawake Ambao Mwanaume Hafai Kuwa na Uhusiano Nao Zaidi ya Kujitakia Matatizo.
Japo kila mtu anakasoro zake ila kuna tabia ndogo ndogo ambazo huleta maharibiko kwenye...
Kama title inavyojieleza guys i real real seek for a girlfriend
>>Age asizidi 26yrs
>>dini yeyote
>>mostly romantic na kama upo Dar es salaam it'll be so nice
mimi ni mwanachuo chuo flani Dar...
Halo Wanammu
Natinga tena hapa ukumbini kuendeleza kisa kilichonikuta nilipompa mama mmoja lifti kama nilivyosimulia kwenye thread hii:Wewe mwanamke, wanifahamu sana mimi pamoja na mke wangu...
Nawasalimu wana JF,
Ni mtu mwenye kipato cha kati na naishi simple sana.Tangu nilipomaliza chuo na kuingia mtaani rasmi kiwango changu cha huruma kimepungua sana na kiwango cha ukatili ndani ya...
Watu wasio na wenzi wa ndoa au waliofiwa na wenza wao wana hatari kubwa ya kuugua ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (dementia) kuliko wale wenye wenzi wao wa ndoa,
Hii ni kulingana na utafiti...
MALAIKA NDANI YA KIWILIWILI CHA BINADAMU
Desemba 1994, Rapa Tupac Shakur alihukumiwa kifungo jela kuanzia mwaka mmoja na nusu mpaka minne na nusu. Kosa likiwa kumnyanyasa kingono mwanamke mkazi...
Naona kila dalili ama nimeanza kuota fimbo 30 kwa mazoea ya haka kabinti. Kwa kuwa hom nipo alone, wife kasafiri, nyumba yangu iko njiani kabisaa watu wakitaka shotikati wanakatiza tu kwangu...
Nina miaka mingi ya kutosha. nimefanya mapenzi na wanawake wa kila aina warefu, wafupi, wanene, wembamba, weusi, weupe, walionizidi umri, wadogo kwangu sana, wazuri wa sura, wabaya wa sura.
Jibu...
Nimeumia sana jana niliweka hapa uzi kuhusiana na mwanaume mmoja mshenzi wa humu ndani kutumiana meseji za mapenzi na mchumba wangu. Niliandika kwa uchungu sana nikitoa onyo sababu najua jinsi...