Tukumbushane majukumu yetu kama wanaume

caine

JF-Expert Member
Jul 4, 2015
345
1,000
Wasalaam wana jukwaa wote wa jukwaa hili pendwa la MMU,

Ni imani yangu kwamba wote wazima leo ningependa kuwashirikisha hili kwa pamoja ili tujikumbushe majukumu yetu kama wanaume.

Kuna hii tabia ya vijana wa kiume kuogopa kutongoza hasa kwa kuhofia kua watakataliwa. Kwanza ni kosa kuhofu au kua na mawazo ya kukataliwa au kushindwa katika maisha.

Jambo la pili na kubwa zaidi ni kwamba kutongoza ni sehemu ya kutimiza majukumu yako kama mwanaume. Huna haja ya kuhofu kutimiza majukumu yako hata kama utakosea.

Ukizaliwa tu mwanaume, kutongoza ni sehemu ya majukumu yako makuu kwenye Job Discription(JD) yako.

Tongoza kila mwanamke unaedhani au kuona unaweza kutongoza, tongoza kadri uwezavyo au upendavyo, usihofu kukataliwa, hofu kutokutongoza ila sio kukataliwa. Jisikie mwenye hatia kutokutimiza wajibu wako kuliko kujisikia hofu ya kukataliwa katika kutimiza wajibu wako.

Jifunze hata kwa ndege na wanyama, jogoo hutongoza kila tetea anaemuona bila kujali atafanikiwa au la, akifanikiwa hewala, akikosa alikua anafanya mazoezi ya kukimbia na kuweka mwili sawa.

Lakini pia usiogope kutongoza mwanamke mzuri kwa kuhofu kua lazima atakua na mume/mpenzi, wewe tongoza, sio kila mwanamke mzuri basi ana mume, wengi hua ni vacancy, ukijaribu unaweza kufill hiyo nafasi. Tongoza mahala popote u apojisikia au kuona kuna mtu unaweza kumtongoza na muda wowote.

Ni ushauri tu na kukumbushana majukumu.


Nawasilisha
 

caine

JF-Expert Member
Jul 4, 2015
345
1,000
Vp kama kila utayemtongoza atakukubalia,utawashughulikia wote au wengine utawaambia kuwa ulikuwa unajifurahisha tu.
Hakuna namna ni kuwashughulikia tu mkuu. Suala ni kua umetimiza wajibu na umepata ulicho kiomba.

NB; Ukimwi upo tuwe makini katika hili. Matumizi ya kinga yaambatane na kutimiza majukumu yetu.
 

caine

JF-Expert Member
Jul 4, 2015
345
1,000
Tunashukuru kwa kutukumbusha jombaa
Ni muhimu kukumbushana nimegundua ya kua vijana wengi wamekua ni wahanga wakubwa kwa kutokutimiza majukumu yao. Karibu sana mkuu tuendelee kukumbushana na kulinda hadhi na sifa za uanaume wetu.
 

Mareth

JF-Expert Member
Dec 9, 2017
341
1,000
Hakuna namna ni kuwashughulikia tu mkuu. Suala ni kua umetimiza wajibu na umepata ulicho kiomba.

NB; Ukimwi upo tuwe makini katika hili. Matumizi ya kinga yaambatane na kutimiza majukumu yetu.
Unaogopa ukimwi kuliko Muumba wako aliyekupa utashi wa kukutofautisha wewe na hao "wanyama dume" unaotaka kujifananisha nao
 

mshipa

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
11,604
2,000
Ni muhimu kukumbushana nimegundua ya kua vijana wengi wamekua ni wahanga wakubwa kwa kutokutimiza majukumu yao. Karibu sana mkuu tuendelee kukumbushana na kulinda hadhi na sifa za uanaume wetu.
Asante sana. Ni mwendo wa kutema sumu mwanzo mwisho
 

caine

JF-Expert Member
Jul 4, 2015
345
1,000
Lkn kwanini uzi wako wote umeegemea jukumu la utongozaji tu?
Ni moja kati ya jukumu lenye matatizo sana kwa hivi karibuni. Kama kuna majukumu mengine ya kukumbushana usisite kufanya hivyo mkuu. Nado unakaribishwa sana hauja chelewa.
 

king otaligamba

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
1,891
2,000
Ni moja kati ya jukumu lenye matatizo sana kwa hivi karibuni. Kama kuna majukumu mengine ya kukumbushana usisite kufanya hivyo mkuu. Nado unakaribishwa sana hauja chelewa.
Nafikiri hata jukumu la kugegeda wanawake linawatatiza sana wanaume wenzetu wa Dar es Salaam. Huoni na hilo kama ni la msingi. Laiti kama unge jumuisha yote hayo mawili inge pendeza sana.
 

uwepo

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
599
1,000
Naona unakumbusha majukumu ya kutongoza baada ya kukumbusha wanaume wasikwepe majukumu yao baada ya kutongoza mwanamke matunzo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom