Watu wasio na wenzi wa ndoa au waliofiwa wana hatari kubwa ya kuugua ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
Watu wasio na wenzi wa ndoa au waliofiwa na wenza wao wana hatari kubwa ya kuugua ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (dementia) kuliko wale wenye wenzi wao wa ndoa,

Hii ni kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la afya ya akili nchini Australia.



Tiba Fasta
 
Back
Top Bottom