Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mfumo wa ndoa ukiutazama ni mfumo wenye dosari kubwa sana , nafikiri hata Mungu aliusahau kwani alimuumba Adam kwanza akasahau msaidizi ( Mke) ,,,,,, mpaka alipostuka na kusema si vyema mtu kuishi...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani nilikuja na nyuzi hapa,,baba wa mtoto kakataaa majina ya kiswahili,,kasema anataka majina ya kimasai aiseee So naombeni ya kimasai ya kiume
5 Reactions
149 Replies
54K Views
Humu jf kumekuwa chanzo cha kuongezeka kwa vilio vingi vya mapenzi kutendwa na kufanyiana ushenzi sababu wote mnatumia ID fake sawa unatumia ID fake lakini wewe si fake na utambue kuwa mungu...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Wazima Hapa?? Leo na mada hii Je unajua mwanamke anapotoka nyumbani huwa amejiandaa kwa tukio lolote lile?! Nidhahili wenzetu kutokana na maumbile yao lazima wakae na maandalizi endapo itatokea...
5 Reactions
84 Replies
49K Views
Ulimholaaa ...... Poleni kwa kukazwa na vyuma basi mie leo nawakaribisha Tabora kwetu mle karanga na asali, matobolwa, mahama na mziki wa kinyamwezi juu. Karibuni karanga... Jisevie mwenyewe...
13 Reactions
220 Replies
23K Views
mambo vipi watanganyika wenzangu? kuna bonge flani sijui ana matatizo gani,kuna kipindi flani me nilikua na manyeg.e yangu tu,so nikaona ngoja nitongoze yeyote atakaepita mbele yangu ili tu niweze...
6 Reactions
75 Replies
14K Views
Usiku kama mumeo kakukera usilale mpaka pakuche hamjasameheana, hata malaika baraka hawawezi shuka kwenu. Huyo ulionae amezaliwa kwao kaja na tabia zake na wewe umezaliwa kwenu una tabia zako...
39 Reactions
285 Replies
16K Views
Habari zenu ndugu wa jamii forum. Matumaini yangu ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kujenga taifa ingawa Vyuma Vimekaza. Twende moja kwa moja kwenye Maada husika...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ninaishi na mwanaume kanitolea mahali lakini hatujafunga ndoa na nina mimba ya miez 6. Tulikua tunaishi kwa amani hadi mwanzo wa mwezi huu alipoanza kubadilika na nkamchunguza kwenye simu yake...
2 Reactions
126 Replies
11K Views
Kwa kujadili hii maada ( Mapenzi; mahaba siraha ya mafanikio; nimependelea kwanza nioneshe historia japo kwa ufupi ya safari ya maisha kati ya hawa wanamziki wa Tanzania Belle 9 na Diamond tuone...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanadamu au jamii hawajui falsafa ya kupenda ,,,, watu wengi wasio na Upendo au kupenda huwa wa kwanza kusema nakupenda ,,, that's life in disguise,,,, . Mtu anayekupenda kimantiki kabisa...
1 Reactions
2 Replies
860 Views
Wakuu Kuna mtu humu nampenda ila yupo nampenda zaidi Mpenzi wangu anakataa kula mbele yangu, anadai anaona aibu Mfikishieni salamu zangu
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari!!mm Ni wanaume wa Miaka Kati ya 45 na 50 nimejitokeza hapa kutafuta mwanamke wa kufunga nae ndoa. Awe MWEMBAMBA MWEUPE na MREFU Naomba tuwasiliane kwa:simu 0755 521 487 Email address...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwanza kabla ya kuandika huu uzi ninaomba Mods msihariri kichwa cha Uzi huu kama ambavyo huwa mnafanya kwenye nyuzi zangu ambazo huwa naandika, "Lasivyo mtabaki na Headline yenu ambayo...
17 Reactions
188 Replies
14K Views
Jambo likishatokea limetokea ni ku focus tu.. Sasa naombeni kujua yapi ya kuzingatia na yapi ya kufanya katika malezi ya mtoto kwa mamma anaelea mtoto mwenyewe especialy wa kiume yan n mambo gani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawasalimu wote hamjambo? Hii dunia huwa ina mambo kwakweli nimeona itapendeza kushare na nyie magreat thinker hili jambo maana jf haijawahi kumtupa mtu. Iko hivi nina rafiki yangu ninaemuheshimu...
8 Reactions
104 Replies
9K Views
Samahani wana JF nimejaribu kufuatilia sana juu ya dhana halisi juu ya ndoa, ninachokishuhudia kwenye jamii ni tofauti na kile ninachokiamini, binafsi huwa naamini kuwa ke +me mkikubaliana kuishi...
1 Reactions
1 Replies
900 Views
Ni upi umri sahihi wa msichana/mvulana kuolewa/kuoa?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habar za majukumu wakuu, mm n kijana wa miaka 25 jinsia ya kiume nimekuwa nikisumbuliwa na (ashiki/shauku/mihemko) ya kufanya mapenz mara kwa mara, baada ya kuachana na michepuko na kuamua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…