KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,679
- 8,866
Wazima Hapa??
Leo na mada hii Je unajua mwanamke anapotoka nyumbani huwa amejiandaa kwa tukio lolote lile?!
Nidhahili wenzetu kutokana na maumbile yao lazima wakae na maandalizi endapo itatokea chochote ambacho si cha kawaida ili aweze kujistili!
Ila sasa kingine mwanamke anapotoka nyumbani ujiandaa kwa mengi moja ni kwa mahusiano mapya!!
Mwanamke anapokuwa akivaa nguo yake nakujitazama kwenye kioo kwanza ufikiria nikipata mahusiano mapya natakiwa nionekane nipo fit,hata anapovaa chupi ujitahidi kuvaa chupi nzuri ya kuvutia hii nikwa sababu atakapokutana na mahusiano mapya asipate aibu!!japo hapo kakuacha kitandani.
Hivyo ujue ukitongoza mwanamke akakunyima siku hiyo ujue ulikuwa na mapungufu katika mistari wao huwa wapo tayari kwa tukio lolote!na huwa wamejiandaa kabisa!!
Hivyo wao wapo kwa ajili yetu haijalishi kaolewa au ana mchumba!!