Innovator97
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 285
- 403
Ni upi umri sahihi wa msichana/mvulana kuolewa/kuoa?
Uko makini wakongwe kama sisi hatudanganywi ovyoovyoUmeingia jf leo ili uje kuuliza hili au?!
New member umri sahihi hakuna inategemea mazingira uliyopo,hali ya mwili wako,kipato chako kuweza kumudu kujiendesha au kuendesha familia na ukomavu wa akili yako Ila wengi wanapendekeza mwanaume aoe akiwa na miaka 30 mwanamke aolewe kati ya miaka 21~25Ni upi umri sahihi wa msichana/mvulana kuolewa/kuoa?
Sawa mkuuNew member umri sahihi hakuna inategemea mazingira uliyopo,hali ya mwili wako,kipato chako kuweza kumudu kujiendesha au kuendesha familia na ukomavu wa akili yako Ila wengi wanapendekeza mwanaume aoe akiwa na miaka 30 mwanamke aolewe kati ya miaka 21~25![]()
Kwa jibu hili...unaonekana mkongwe humu ila umebadili tuu ID....mgeni Siku zote huwa mpole hata kama si hulka yake.Jibu swali hayo mengine hayawahusu
Ok sorryKwa jibu hili...unaonekana mkongwe humu ila umebadili tuu ID....mgeni Siku zote huwa mpole hata kama si hulka yake.