Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
Jambo likishatokea limetokea ni ku focus tu..
Sasa naombeni kujua yapi ya kuzingatia na yapi ya kufanya katika malezi ya mtoto kwa mamma anaelea mtoto mwenyewe especialy wa kiume yan n mambo gani muhimu yatayomfanya mtoto awe real man hapo baadae..msingi Bora na imara huanzia chini
Naombeni wahenga mje mnipe darasa yapi ya kufanya na yapi yakuepuka ili kumfanya mtoto awe real man later.
NB:sitohitaji kuongelewa kwa previous post here because past is past naomba muende direct to the point