uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,351
- 1,100
Wanadamu au jamii hawajui falsafa ya kupenda ,,,, watu wengi wasio na Upendo au kupenda huwa wa kwanza kusema nakupenda ,,, that's life in disguise,,,, .
Mtu anayekupenda kimantiki kabisa ,,,,huwa hatakiwi kuleta taarifa yoyote mbaya kwako ,,,,,,,, mfano oh!!! Mkeo anatembea nje ya ndoa,,,,,, oh! Mumeo ana mchepuko,,,, oh!!! Fulani amekusema sana ,,,,oh!!!! Jamaa amepanga kukuloga,,,,
Habari hizo Mara nyingi zinakuja si kwamba ujipange Bali kukutoa katika kusudi jema .Mahusiano hasa ya ndoa si ya kulazimika kuwepo tu Bali ni ya kudhamiria .
Wewe pigana vita vizuri vya imani hata biblia imesema 2 Timothy 4:7 ". Nimevipiga vita vilivyo vizuri , mwendo nimeumaliza , imani nimeilinda.
Be inspired