Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Fahamu kuhusu "MAN-CHILD" au MWANAUME ASIYEWAJIBIKA, kwa mtazamo wa kisaikolojia, kijamii, kifamilia na kimahusiano: --- 🧠 MAANA YAKE: Man-Child ni mwanaume mzima kiumri lakini ana tabia, fikra...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwaka 2006 nlitembelea tabora kwa mara ya kwanza nikiwa nmepangiwa kituo changu cha kaz. Nlifikia lodge flan mitaa ya town kwa siku kama tano nlikuwa nalala pale. Nakumbuka ilikuwa ni majira ya...
55 Reactions
258 Replies
60K Views
Ndugu zangu wana JamiiForums, Mimi ni kijana wa miaka 23 , nimemaliza mwaka wa pili sasa chuoni, ninasikitika kuwa sijawahi kuwa kwenye mahusiano wala kujamiiana. Safari yangu ya masomo...
14 Reactions
77 Replies
3K Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika. Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa...
33 Reactions
268 Replies
10K Views
Wadau, nina mke niliyeanza naue mapenzi mwaka 2010 baadaye akaenda kusoma certificate na akamaliza Diploma mwaka 2015. Wakati huo aliniomba nimusaidie karo na matumizi shuleni na wakati walikizo...
22 Reactions
109 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu Wakuu naombeni majina ya kikristo mawili ya mapacha, mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" na mwisho liishie na herufi sound " N" "Likianza na "Jo" lika sound mwisho...
1 Reactions
46 Replies
2K Views
Tarehe 22 Mei 2018 taarifa ilitoka kwenye vyombo vya habari kuwa mwanamke anayeitwa Berlina Wallace, mwenye miaka 49 amekutwa na hatia ya kumjeruhi mpenzi wake wa zamani Mark van Dongen umri miaka...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu zangu . Je, ni sahihi kumuita mtoto wa kiume "JOHAN" naombeni pia faida na hasara zake katika jamii?
2 Reactions
69 Replies
2K Views
Katika maisha yangu sijui kama nimeumbwa na moyo ambao uko tofauti na wanaume wenzangu Moyo wangu umeumbwa na asili ya kurizika Kwasababu hiyo basi mimi sinaga uwazo wa kupenda au kutamani...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Faida za kuwa na mke ni nyingi sana. Nakala ya 2023 ya Ufadhili wa Utafiti wa Afya (HRF) ilionyesha kuwa wanaume walioowa wanaishi miaka 17 zaidi ya wanaume wasio na wenzi. Wanaume wasiowa...
35 Reactions
216 Replies
10K Views
Utaratibu wangu mimi ni huwa sikopi kwa mtu, wala kukopeshwa na mtu,kwa sababu huwa inapelekea urafiki kufa kabisa huko mbeleni,mimi huwa nanuna na mambo yangu mpka natatua changamoto zangu...
15 Reactions
40 Replies
2K Views
Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi...
18 Reactions
251 Replies
9K Views
Jamaa moja huko Nigeria amempiga mke wake. Kaka wa mke wake wamefika nyumbani kwake na kumpatia kipigo kitakatifu. Hili suala limekaaje?
12 Reactions
66 Replies
2K Views
Wakuu Hivi inakuja mtu kakupigia yeye simu then anakuambia niambie,sasa mimi nimuambie nini?
2 Reactions
5 Replies
285 Views
MWANAUME,UKIMWAMBIA MWANAMKE, UNATAKA KUMUOA — HAPO UMEMCHUMBIA TAYARI. - Mwanaume, ukiwambia mwanamke “Nataka kukuoa” — hayo si maneno ya kawaida, umemchumbia rohoni na mbingu inaandika. Ujumbe...
1 Reactions
10 Replies
779 Views
Siku hiyo nilikuwa kazini. Mke wangu alibaki nyumbani na mwanangu wa kike wa miaka 11 . Sasa ilipofika muda wa saa 11 mke wangu alitoka na kumwaga mwanangu kuwa anakwenda dukani bila mwanangu...
58 Reactions
198 Replies
20K Views
Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili. Wife alipofika darasa la saba alibakwa na...
29 Reactions
141 Replies
14K Views
Hii nimetoa FB, je Kuna ukweli? My wangu haszu
2 Reactions
1 Replies
308 Views
Ameandika James Gn, JUKUMU LA KIUNO KUWA LAINI NA CHEPESI NI LA MWANAUME NA SI MWANAMKE. Kama wewe ni Mwanaume na Umekaza fuvu eti kwa kudhania Mwanamke ndiye mwenye jukumu la kukishitua kiuno au...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom