Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu zangu . Je, ni sahihi kumuita mtoto wa kiume "JOHAN" naombeni pia faida na hasara zake katika jamii?
2 Reactions
69 Replies
2K Views
Katika maisha yangu sijui kama nimeumbwa na moyo ambao uko tofauti na wanaume wenzangu Moyo wangu umeumbwa na asili ya kurizika Kwasababu hiyo basi mimi sinaga uwazo wa kupenda au kutamani...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Faida za kuwa na mke ni nyingi sana. Nakala ya 2023 ya Ufadhili wa Utafiti wa Afya (HRF) ilionyesha kuwa wanaume walioowa wanaishi miaka 17 zaidi ya wanaume wasio na wenzi. Wanaume wasiowa...
35 Reactions
216 Replies
10K Views
Utaratibu wangu mimi ni huwa sikopi kwa mtu, wala kukopeshwa na mtu,kwa sababu huwa inapelekea urafiki kufa kabisa huko mbeleni,mimi huwa nanuna na mambo yangu mpka natatua changamoto zangu...
15 Reactions
40 Replies
2K Views
Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi...
18 Reactions
251 Replies
9K Views
Jamaa moja huko Nigeria amempiga mke wake. Kaka wa mke wake wamefika nyumbani kwake na kumpatia kipigo kitakatifu. Hili suala limekaaje?
12 Reactions
66 Replies
2K Views
Wakuu Hivi inakuja mtu kakupigia yeye simu then anakuambia niambie,sasa mimi nimuambie nini?
2 Reactions
5 Replies
285 Views
MWANAUME,UKIMWAMBIA MWANAMKE, UNATAKA KUMUOA — HAPO UMEMCHUMBIA TAYARI. - Mwanaume, ukiwambia mwanamke “Nataka kukuoa” — hayo si maneno ya kawaida, umemchumbia rohoni na mbingu inaandika. Ujumbe...
1 Reactions
10 Replies
779 Views
Siku hiyo nilikuwa kazini. Mke wangu alibaki nyumbani na mwanangu wa kike wa miaka 11 . Sasa ilipofika muda wa saa 11 mke wangu alitoka na kumwaga mwanangu kuwa anakwenda dukani bila mwanangu...
58 Reactions
198 Replies
20K Views
Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili. Wife alipofika darasa la saba alibakwa na...
29 Reactions
141 Replies
14K Views
Hii nimetoa FB, je Kuna ukweli? My wangu haszu
2 Reactions
1 Replies
308 Views
Ameandika James Gn, JUKUMU LA KIUNO KUWA LAINI NA CHEPESI NI LA MWANAUME NA SI MWANAMKE. Kama wewe ni Mwanaume na Umekaza fuvu eti kwa kudhania Mwanamke ndiye mwenye jukumu la kukishitua kiuno au...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimeshuhudia ndoa zikivunjika kwa tatizo la uzinifu baina ya mke au mume wa mtu. Na madhara makubwa huenda hasa kwa watoto ambao hawahusiki na kosa la mzazi mzinifu. Mzinifu wa kike unatakiwa...
18 Reactions
19 Replies
2K Views
SHIDA KUU YA WANAWAKE SIYO KUSIKIA — NI KUTOKUJUA KUTAMBUA SAUTI SAHIHI. Wanawake wengi wana sikio la kipekee la kiroho — wanaweza kusikia. Lakini changamoto yao kubwa ni kutotofautisha nani...
2 Reactions
3 Replies
369 Views
Kuna watu siwaelewi kama wana akili timamu,ulimbukeni ama ujuaji. Hivi unawezaje kujirekodi mkiwa katika tendo la ndoa na mwenzi wako?. Mnawezaje kupigana picha za utupu na kutumiana?. Nini...
8 Reactions
55 Replies
2K Views
Hello, I have always been reading threads without commenting. Kwanini nimeanzisha hii thread? I am a married lady..in my very early 30s( with over 11 years of marriage experience). I got married...
66 Reactions
1K Replies
69K Views
Hii imenitokea mara kadhaa. Inakatisha sana tamaa, unakuta mdada mrembo tu mwanzo ulikuwa humjali sana. Mara anaanza mazoea , ukimpa tu attention anaondoka inakuwa kama zamani tena. Unaweza...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Habari za jioni, tunashukuru Mungu kwa uzima aliotupa. Katika ulimwengu huu tunaoishi katika dunia ya utandawazi ambayo imeonekana imejitosheleza katika kila sekta, ila kuna taasisi moja kubwa...
12 Reactions
60 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…