Ni yepi majina ya mpenzi wako?

Ni yepi majina ya mpenzi wako?

maforce

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Posts
681
Reaction score
652
Heshima kwenu wote mliopita kwenye huu uzi. Bila kupoteza muda twende kwenye maswali ya msingi ambayo ni
  1. Jina gani huwa unamuita mpenzi wako mkiwa pamoja?
  2. Majina yepi huwa unayatumia kumtambulisha mpenzi wako akiwa mbali na wewe?
  3. Kwa nini huwa unatumia majina hayo?
Karibuni sana kwa mjadala huu.
 
1- Mamie wana.
2- Mamsap.
3- Nimelelewa kizee.
 
Mi sijui nitaponea wapi, Jukwaa la siasa ndo silipend kbsa, elimu bashste kasingziwa, international ndo kbsa mana ngeri kwangu ni sheeda maneno yaliyobaki ni is na end mengne yote yalipotea nilipougua malaria, huko love connect wana ni disconnect kila siku humu namo mada zote ni za wenye wapenzi wao. Hv hamna jukwaa la wachawi na waganga wakienyeji?
 
Hahahahahahhahaaaaaa

Mkuu.....!!??
 
1. Namuita dogo ( ingawa kanizidi)
2.akiwa mbali mume wangu
3.kwasababu nikimwita baby,honey ,sweetie ananipigia jicho afu anacheka anajua siko serious au kuna kitu nataka
hahahaa
 
Back
Top Bottom