Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi mwanamke aliyepata mtoto tofauti na njia ya kawaida labda kwa oparesheni ni sahihi kusema kuwa amezaa?! NI HIVI:Hapa mtaani wamama wawili wanachambana baada ya mmoja kumtuhumu mwenzie...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna uzi nimeuona ila ghafla siuoni! Kuna jamaa alikuwa anaomba ushauri anataka kugegeda house gal wake baada ya mkewe kusafiri na kumuacha naye! Nihitaji kumpa ushauri huu hapa chini ila nikaona...
12 Reactions
53 Replies
5K Views
Nimekuwa nikisikia habari nyingi kuhusu bikra lakini sikuziamini kivilee, nilijua mwanamke ni mwanamke haijalishi ukimkuta bikra au vipi ili mradi ana maumbile ya kike basi hakuna kinachoharibika...
12 Reactions
197 Replies
41K Views
Mwanaume unafanyiwa pedicure na manicure, una nyoa kiduku na kupata Vaseline mdomoni. Una begi ndani lina hand lotion, nail cutter, tissue, deodorant na perfume bila kusahau wallet yenye 5,000 ya...
16 Reactions
70 Replies
5K Views
micharuko kila sehemu, ata hakuna pa kutokea!! sijui mi ndo nna gundu.. au ndo hali ilivyo ila lile neno ambalo lipo kwenye kiapo na linasisitizwa sana 'uvumilivu' linachukua nafasi yake!! aise...
0 Reactions
98 Replies
7K Views
Hatuwezi kuwa mke na mume kabla ya kupitia urafiki. Nimegundua mahusiano mengi yanayoanzia humu yanakufa kifo cha kimya kimya. Watu wanakuja kwa gia ya kutafuta mke au mume kumbe lengo linakua ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MAFANIKIO YAKE sio kigezo pekee cha yeye kuwa mke/mume bora.. kuna mengi ya kuangalia zaidi ya mafanikio, uchapakazi wake ama utendaji na sifa alizonazo.. Kumbuka hizo sifa ni za KWAKE yeye.. ana...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mimi ni miongoni mwa kijana ninayeishi nyumba za kkupanga, katika mtaa huu ninao kkaa kuna jirani yangu tulikuwa wote mabachelor juzijuzi tu kaoa ila anammendea mpangaji mwenzangu wa...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Jamani hebu wanaume mkubali kurekebishwa na kukubali mnachoshauriwa, Wanaume wengi hasa walioko kwenye ndoa wamefuga vitambi, kwa kweli hili mimi linanikera sana hakuna nguo inayompendeza tumbo...
18 Reactions
183 Replies
23K Views
Hakika kama ni vituko vya wapangaji basi kituko cha mpangaji huyu kimeshinda vituko vyote vya wapangaji, khaaa!! Hiko hivi, huyu mpangaji mwenzetu ambae ni mwanaume na anamke na watoto...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Ama kweli siku ya kufa Nyani miti yote huteleza. Nlijitahidi sana toka mara ya mwisho nmeenda bagamoyo kumgegeda yule MILF wa kizungu nikasema umri umeenda niache kuchapa bakora wadada na...
40 Reactions
130 Replies
18K Views
Mambo yaameanza upyaaaa. ....... Visa viroja na vijaruba vya Kasie Mahaba. Diamond kanisema mie mia ya mia laah naweza sema huu wimbo kanitungia Kasinde mie..... nachojishangaa mbona sikomiii...
4 Reactions
67 Replies
4K Views
Kuna mambo mengine kama huna kifua usipende kuyahoji wala kuyajua. Jamaa yangu ndoa yake ipo ICU sasa, Takriban mwezi mzima sasa hawaongei na mke wake na hivi sasa anafikiria ku-devorce...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari wadau, Nimependa sana kijana Diamond jinsi anavyowatunza wanawake zake na nimejifunza nizisake kwa nguvu na nimtunze sana mwanamke wangu, maana kuna watu wakiombwa elfu 20 tu wanaanzisha...
21 Reactions
128 Replies
11K Views
Kuna mwanaume anayefanya kazi kwa kujituma na kidogo anachokipata hurejesha nyumbani kwa mkewe ili kuweza timiza matumizi ya lazima kwa ajili ya familia na malezi ya watoto. Baadhi ya wanawake...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Hili lidada ni maarufu sana kwa picha zake humu JF, FB na hata Insta. Ana umbo balaa ile mbaya. Umbo ni zuri sana. Ila ukizoeana naye kidogo tu hasa akikulenga akaanza urafiki nawe hachelewi...
18 Reactions
104 Replies
12K Views
  • Closed
Habari za Jumapili wana JF, Nimesafiri nipo maeneo fulani hivi huku Ifakara Upogoroni, nipo kikazi. Kwa kweli wenyeji wangu wamenipokea vizuri sana, iIa naomba mnisaidie kwa yeyote anayejua...
1 Reactions
44 Replies
25K Views
Utasikia shost shemeji yako yuko hapo Arusha ki kazi wiki ya pili sasa hembu muonyeshe mji, hata kama ingekuwa mimi ningekufanyia hivyo hivyo. Hili ni kosa kubwa kuliko na limeliza wengi. Haina...
10 Reactions
51 Replies
5K Views
Neno la kuuingia nalo mwaka huu mpya....... “Zamani (siyo mbali miaka ya 90 hivi)dada yako akipata mimba kabla ya kuolewa, anajificha nyumbani hadi ajifungue na washikaji wanakucheka na...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…