Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Waheshimiwa habari za usiku! Ee bwana nina shida kidogo embu nisaidieni kuniweka wazi... Kuna binti mmoja nina uhusiano nae kama mwaka hivi sasa katika mwanzo wa uhusiano wetu kama tuliapiana...
1 Reactions
151 Replies
16K Views
Wana jamvi natumaini ni wazima wa afya.... Wakuu kuna kitabia kimenitokea zaidi ya mara 10 kwa Wadada tofauti tofauti ninaoanza nao mahusiano kwa mara kwanza Kwanza mara ya kwanza na ya pili...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za leo wana jukwaa, Miezi michache iliyopita nilileta uzi hapa wenye kichwa cha habari " Natafuta mke mwema" Tangu kipindi hicho nilipopandisha uzi huo nimegundua kuwa wa2 waliowengi...
3 Reactions
70 Replies
9K Views
Habari zenu wana jf natumai tupo pamoja kama ada yetu! nimekuwa mhanga wa mahusiano ya ndoa yangu kwa muda mrefu sasa na kama mnakumbuka nimeshawahi kuwaomba ushauri humu nanyi kunishauri...
0 Reactions
74 Replies
7K Views
Hapo vip!! Nimesoma huu ujumbe wa dereva toyo,nikaona nilete kwenu wadau tuvunjevunje na kuchambua , jambo simaanishi tuwaoe dada zetu wa damu no. Natakaka nipate ukweli wa ujembe wake,je,ni...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Katika mahusiano nimegundua lazima mtakutana watu wa aina mbili mmoja anaongea sana mwingine vitendo sana, hapa sasa lazima kuna mmoja akimtifua mwenzie atachukua hatua. Unahisi jinsia gani huwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna uelewa mdogo miongoni mwa wanajamii wanaoshiriki ngono mubashara (active sex). Wanaume hudhani wanapofanya ngono na wenzi wao, wao ndio hufaidi zaidi na ya kwamba katika tendo mwanamke...
2 Reactions
40 Replies
9K Views
Bwana apewe sifa. Ni mwezi wa 3 sasa tangu niokoke kwa hiari yangu mwenyewee bila kushurutishwa na mtu yeyote wala kulazimishwa, wala kuombwa. Tangu nimeanza kuhubiri humu people have been taking...
26 Reactions
202 Replies
16K Views
1: Awe mtalaam chumbani. Mtalaam wa mahaba Shekh. 2: Awe hodari jikoni ajue kupika chakula kizuri, hii wanaweza. Kina mama wengi wanaweza. Hii ya tatu ndio nzito 3: Awe na lugha tamu hata kama...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu, Katika uchunguzi nlioufanya kwa miaka saba (7) sasa, nimegundua kitu muhimu sana katika maisha ya mapenzi hapa Afrika. Wasichana wengi wazuri hawaolewi na Wanaishia kuwa...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Unaweza kuwa kwenye mauhusiano kwa muda wa miaka miwili na usiyafurahie wala kuwa na amani na mwenza uliye naye. Na unaweza kuwa kwenye mauhusiano na mtu mwingine kwa muda wa miezi miwili pekee...
19 Reactions
113 Replies
8K Views
Kwanini Wanajeshi / Wajeda ( wana Medani ) huwa hawapendi Kuoana wao kwa wao tofauti na Kada zingine zilizopo nchini. Nimejaribu sana Kutafiti huku na kule lakini naona wale waliooana wao kwa wao...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
warembo ni wengi ila kumpata mwenye mapenzi ya kweli na anayefaa kuwa mke mwenye kujitambua imekuwa balaa!!!!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
LE MUTUZ AFANYA KWELI KWA YULE KIJANA ALIYE SAMBAZA PICHA NA VIDEO ZA UCHI ZA ALIYEKUWA DEMU WAKE. HUYU NDIYE KIJANA WA MIAKA 27 ANAYEITWA ELIMRINGI MOSHI MWANAFUNZI WA MWAKA 3 IFM ALIYEMREKODI...
8 Reactions
55 Replies
9K Views
Naandika kwa uchungu sana. Huwa nikipenda mwanaume mmoja nampenda huyo huyo na siwez kumcheat labda anizingue. Mwanaume ambae nilijua tutamaliza wote maisha yaliyobaki hapa duniani ameniumiza...
33 Reactions
435 Replies
26K Views
Huu ni ushauri tu kwa wanaume wenzangu kama vile nimekua nikiwashauri kila mara. Kuna huu msemo wa kizungu unaosema wewe ni chakula unachokula(you are what you eat). Maana yake ni kua kula yako...
11 Reactions
30 Replies
5K Views
Happy 2018!! Nina swali dogo lakini laweza kuwa muhimu, hasa kwa jamaa zangu wa kiumeni waliopo ndoani. Fikiria ni holiday time, wale ndugu zangu wenye desturi ya kurejea kwao/kwa wazazi...
17 Reactions
213 Replies
18K Views
Hivi ndio tuseme kukaza kwa vyuma au kumpenda dezo katika mizunguko yangu some where nikakutana na X boyfriend wangu nimeachana miaka sita iliyopita tena niliachana nae kwa kisanga kizito matusi...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh. 500,000/= kila mmoja huku...
12 Reactions
62 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…