Stress za Ndoa ndo zimeniokoa (Najibu shutuma)

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,160
Bwana apewe sifa.

Ni mwezi wa 3 sasa tangu niokoke kwa hiari yangu mwenyewee bila kushurutishwa na mtu yeyote wala kulazimishwa, wala kuombwa. Tangu nimeanza kuhubiri humu people have been taking shots at me directly au pm kwamba nina stress za ndoa ndo zimeniokoa, hahahaaaaa. Mara ujanja wote umeona umedodaaa umekunyaa humu sahivi unajitia kuokoa. Hahaaaa! Jamaniiiii mnipumzisheeee. Kuoka is taken kama sina option. Alaf

Let me adress hili swala la ndoa kwanini mimi sijaolewa maana wengi mna assume nimekosa mume. Hahahaaa. And when you are taking shots at me mnaumiza watu wengine kisaikolojia, wananifata Lara kwanini hujibuuu, au Lara na wewe yamekukuta. Sasa leo najibu once and for all to set the record straight. Kwa caliber ya IQ yangu ujanja ujanja na utapeli wangu mjini hapa sio rahisi nikose hata boya mmoja wa kunioa kama ikishindikana basi nimuoe mimi, nimfuge mradi tu kuwachapa bakora. Hahaaaaaa. Yani sio rahisi kabisaaa.

The issue is time is limited to play mind games na society. BEST YEARS IN LIFE NI 20s, so i decided to spend my best years of my life doing what is best for me, myself and I. Itanifaa nini Paris au Bankok when i am 40 with 3 kids? The best time is now, hata picha inaita kidogooo. While i am 40 kwenda down at the club in Bangkok si kuzeeka kubaya huko. Same location, same person but life meanings ni completely different. Kwanza unawaza wanao. Pia 20s ni best years kupata mtaji wa biashara, na kukua career wise ofisini kufika management level. Kuna mambo mengi wadau wangu washanipa angalizo 20s ni pilot ukiona unavuka hujayakamilisha baaaaaas ushapoteza hesabu za maisha kuwa makini.

2ndly I trust in MY GOD 200000% na zaidi. Not that i trust atanipa mume au vipi, la hasha. I trust his favor in my life. Nyie hamnijui, ila Mungu kanitoa mbali sanaaa. Watu niliozaliwa nao sehemu moja wanahisi mimi labda naroga sanaaa. Kanipigania sanaaa. My strongest belief is KAMA MUNGU IKIMPENDEZA MIMI KUPATA KITU LAZIMAA HUWA NAPATA. NO MATTER HOW IMPOSSIBLE IT IS ANAFUNGUA NJIA. Mama anasemaga Lara bwana Kijukuuu cha Mtume. Mvivu, mhuni muhuni tu, hakuna anchofanya kinaeleweka ila Mungu wake si wa nchi hii. So i usually live stress free, KAMA MUNGU KAPANGA KUNIPA KITU ATANIPA TU, NA KAMA HAJAPANGA KUNIPA ALL THE STRESS IN THE WORLD WONT CHANGE HIS MIND. KILICHONDIKWA JUU YAKO KIMEENDIKWA. Najienjoy on the mean time mpaka hukumu yangu itakapojulikana mbeleni. Siwazii kabisaa najua tu AKITAKACHO MUNGU NDO KITATOKEA.

There is more to life than marriage, kuna mambo mengi sanaa maishani ya kufanya, kukamilisha, kufanikisha zaidi ya ndoa. Mengi mnoooo. Ukishayajua na kuanza kuyafanikisha hata luxury ya stress unakuwa hunaa. Kwanza saa 24 katika siku hazikutoahi kabisaaa kufanya mambo yako. Ndo itakuwa mda wa stress.

Marriage is changing who you are, to accomodate th US. Sasa mimi i am obssesed with me, ile hamu ya kuwa me, haijaniisha hata kidogo. I love being me, beyond selfish. I could give anything to continue being me. Kila kitu mimi ndo najua, kila jambo mi ndo niamue, kila mustakabali wa maisha yangu mimi ndo niwe na last say, U miminism kwangu ni wa highest stage. Sitoi chance kwa watu baki kuingilia mikakati ya maisha yangu. There is a life i want so badly to give it up for anything, not now. Nina mipango yangu ya mda mrefu ambayo niko mimi tu humo, na siwezi kuivuruga kirahisi. Sasa kwa design hii huyo mume si atapata shida. Bado mahangaiko mengi na dunia sija settle, bado sijamaliza mambo yangu.

Nina personal bad traits very antagonistic to marriage, mapepo mabaya sanaaa. Kwanza na tabia ya kuchoka wanaume na watu. Namchoka tu bila sababu, ananitokaaa kabisaaa. Hata hajanikosea wala kufanya kitu kibaya basi tu naona mchango wake kwenye maisha yangu umetoshaaa. Nitafanya visa hatariii. Au namtoa tu maishani mwangu. Baadae watu wanauliza alikufanya nini kibaya au nini tatizo, inakuwaga hamna. Au naamua tu i dont want to live this life anymore namtema bwana, wizara za mambo ya nje nafanya maisha mengine mapyaaa. Hata kazi naweza kuwa nalipwa vizuri, boss mzuri, everything is fine nachokaaaa tu hio kazi naacha. Mama kasema mpaka kachokaaa. Hata marafiki nawachokaga tu, inatokea naanza kujidistance. Hata humu jamvini mmeona mtu anaweza kuwa rafiki yangu sanaaa, sanaa then baadae kama hatujuani mjue tatizo ni mimi tu hapo wala sio mtu mwingine. Na nikichoka nimechoka, nachokaaa vibaya sanaa. Afu tabia hii tangu primary. Nikishaanza maisha mapya i have no remorse. Nikajua itaisha, nikikua, haiishiii. Ndo maana naogopa kuwaharibia watu maisha maana sitabirikiiii. Ndo maana hata kuzaa sijazaa, naogopa mara siku nimemchoka yule mtoto wangu tobaaa. Au baba yake. Some decisions in life are permanent na i am not good in being permanent. Sina tatizo lolote la ki saikology, nimekulia familia bora, sijawahi pata shida, wazazi wangu wote wako hai, wananipenda sanaa, Mungu baba Mwenyezi Yehova Jire shaiiidiii sijawahi kufanyiwa chochote kibaya na mtu yeyote kama nimedanganya anivue nguo. It is just how i am. The only people siwachokii ni familia yangu na ndugu zangu wa damu, maybe cause sina hio option. Sasa kudumu na bwana ni nimeshindwa Mume nitaweza? I just love changes na new beggings even if ni unecessary. Ndo maana sitakagi close friends, cause all my close friends i ended up disappointing them.

Katika aquisition of men, i am THE BEST, ile tu kujiweka kwa mtu, sina mpinzaniiii. I am a natural, nikitaka mtu anipende ananipendaaa bila ubishi. I always get any man i want ndo maana nawaambia kupata mtu mradi mtu kwangu sio issue kabisaa, ni fastaaa. Tatizo ni mambo yangu binafsi ya hapo juu. Na kiburi tu cha kujua i can get another you in a minute, na vile i have been one hell of a LUCKY woman. Kila nikifanya new beggining inakuwa better than the past basi nipo addicted with newer and newer, nikifika level hii i cant wait to go the next.

So JF cut the foolery, acheni kuniandama pm, mention kwenye nyuzi za mrengo mnaotaka nyie, niacheni niwe STREET PASTOR in peace. Mpaka nitakaposolve hizo issue na hamu ikiniisha mwenyewe nitaanza kuona mambo in your perspective. Bado nipo nipo sanaaa.
 
The Uzi was posted saa tisa usiku.

Na mi midaa hii nipo nakagua ambao hawajalala
 
Asee, unazishambulia sana ndoa kuanzia your most controversial thread ya "marriage is a ....... Institution", ila yupo mtu na siku tu chui atakula mamba
 
Stress mbaya Sana, Tatizo watu yanayoongelea humu Jf wanahisi ni kweli Kumbe ni story tu, Huyu lara alijifanya matawi Sasa umri umemtupa mkono, Hakuna anayependa kuoa Bibi kizee Huo ni ukweli, Tumia umri kwa target ukiona mwanamke unakaribia 28 au 29 hapo cheza karata vizuri la sivyo mtaishia makanisani kuomba upate Mume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom