Amenichezea, kanichoka na kuniacha!

Amenichezea, kanichoka na kuniacha!

mwenzako alishainvest mda wake hisia zake pamoja na vitu vingine kwako,halafu baadae unakuja kuvunja mahusiano kwa kucheat,huko si KUNICHEZEA tu mkuu.
 
Mapenz pasua kichwa sana ndo maana baadhi ya watu huhit na kurun kma walichomfanya t.l
 
ukikaa kihasara hasara kwenye love, chap unaliwa kichwa.
[HASHTAG]#hakuna[/HASHTAG] namna..
 
mwenzako alishainvest mda wake hisia zake pamoja na vitu vingine kwako,halafu baadae unakuja kuvunja mahusiano kwa kucheat,huko si KUNICHEZEA tu mkuu.
Kwahiyo asipocheat akaamua tu kukuacha anakuwa hajakuchezea?!
 
Kwenye kauli zinazonichanganyaga hyo ni moja wapo
 
Mie mbona cjawahi toa kauli ya namna hiyo .....[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom