Sweety zai
Member
- Jan 10, 2018
- 7
- 10
Hivi ndio tuseme kukaza kwa vyuma au kumpenda dezo katika mizunguko yangu some where nikakutana na X boyfriend wangu nimeachana miaka sita iliyopita tena niliachana nae kwa kisanga kizito matusi na kejeli zote alizifanya huyu mwanaume na enzi hizo kwako alikuwa wa kishua balaa.
Sasa majuzi tumegumiana bahati mbaya tukasalimiana fresh. Basi tukabadilishana namba kwa ajiri ya salamu tu kilichobaki.
Sasa huyu mwenzangu tangu nimpe namba muda wote message Mara kaniita mke wangu, mpenzi wangu muda wote mpaka nashangaa kumbe hiyo yote katika harakati za kutoka kunichuna.
Mara katuma message naomba tuonane mimi nimemuambia niko bize imeenda mpaka akaniomba nimkopeshe elfu ishilini akitoka benki atarudisha basi nikamuambia miimi sina hiyo hela na mimi nina ziki kama wewe labda nina elfu kumi kama hutajari tugawane elfutanotano nikamtumia elfu tano.
Heeeh kesho yake asubuhi mapema umeingia message tena eti mpenzi naomba uniazime elfu kumi nitakurudishia jioni, sijamjibu kitu hapa tangu Jana sipokei simu yake na nina mpango wa kumblock.