Katika mahusiano nimegundua lazima mtakutana watu wa aina mbili mmoja anaongea sana mwingine vitendo sana, hapa sasa lazima kuna mmoja akimtifua mwenzie atachukua hatua. Unahisi jinsia gani huwa inaanza kutifua? Kwanini.
Inategemea... yeyote yule.
Ila kuna wanawake wanatunyima amani kwa kuhisi sisi vicheche sana, kwa hali hiyo moto unakata kabisa hata unajiona si kitu.
NB:Wanaume waaminifu wapo bwana hasa madomo zege nawahakikishia.
Relax ila tunaongoza kwa tamaa unajua macho yanaona mengi...
Madhaifu yetu yasiwafanye mjihisi vibaya ni kawaida.
Kujiamini ni muhimu sana vinginevyo hutakuwa na amani daima na hapo utaanza negativity zitakazo kufanya uvunjike moyo daima. Mambo ni simpo sana lakini sijui kwanini wanawake hawatuelewi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.