Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari..!. bila shaka weekend inaenda vyema mpaka wakati huu. Wanajamvi hebu tujuzane katika hili. Hivi ina maana sehem zote wanazotoa huduma za kuchua mwili/massage huwa kuna huduma za ziada...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanawake siku hizi kama samaki tu yaani ukitongoza ni sawa umetupa ndoano mtoni ambapo utaona boya linacheza kabisa ila ukitoa chambo kimeliwa Sawa na mwanamke unamtongoza na anaonyesha kabisa...
1 Reactions
1 Replies
722 Views
Nimeona umoja wa makabila tofauti hapa nchini wanapokuwa sehemu tofauti nje ya walipozakiwa.Mfano umoja wa wasambaa wa Lushoto waishio Zanzibar. Nije kwenye hoja sasa.Katika tembea yangu yote...
2 Reactions
67 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa kitanzania nimeajiliwa nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo - umri 21- 30 -Muajiliwa -mkristo -Asiwe mfupi -awe white au maji ya kunde -Asiwe mnene sana au mwembamba sana...
1 Reactions
2 Replies
866 Views
Habari wakuu. Nina miaka 41, niko Dar, mkristo (kkkt) na sina mtoto. Nina ulemavu wa mkono mmoja, nimeajiriwa serikalini. Nahitaji mke mwenye hofu ya Mungu wa kuishi nami. Ambaye yupo serious...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
“I Am Not-Perfect” “I am not perfect” yes! It is true, but still no excuse to keep living wrong; “I am not perfect” yes! It is true! but still no excuse to keep doing the same things you know you...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Unaomba namba ya simu ya mdada halafu anakunyima ila unalazimisha akupe anaona kuliko muendelee kuongea bora tu akupe anakutajia 0712012018 unafuraahi unaondoka unafika nyumbani unajaribu kuipiga...
12 Reactions
177 Replies
14K Views
Wakuu habari zenu, Ningependa kujua sheria inasemaje kwa mtu atakayeshitakiwa kwa kosa la kutembea na mke wa mtu pasipo kufumwa lakini lakini ushahidi ukiwa ni baadhi ya mambo kama vile SMS...
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Habar za msimu wa sikukuu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wanaume mnatunyanyasa sana tunawavumilia tu Kwa sababu haina Jinsi. Yan mnatufanya tuseenjoy mapenzi Kwa sababu humjui kupapasa...
43 Reactions
633 Replies
61K Views
Habari zenu wakuu natumaini wote ni wazima Binafsi ninamshukuru Mwenyezimungu bado ninahema na bado vidole vyangu vingali na nguvu ya kuandika ujumbe huu pamoja na masahibu yote yaliyonikuta...
5 Reactions
95 Replies
10K Views
Habari wakuu. Leo nimetembelea maeneo ya Tabata, niko 40 40 hapa ila zile mambo tunapenda watu ya bara sizioni hapa kabisa. Yani naona vijana tu wahuni wahuni tu hapa totozi nzuri hakuna kabisa...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Hi great thinkers, nishaurini nifanyaje ili wife aniruhusu ninywe kwa uhuru? Nakunywa kisiri siri safarini.
2 Reactions
126 Replies
10K Views
Naombeni munieleweshe kwa hili wana JF, Ipi iko sawa na kumridhisha mwenzako asitamani kwingine? Mwanamke kwenda kilele mara nyingi zaidi ya mwanaume au mwanaume kupizi mara nyingi zaidi ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari Zenu Wakuu Yaani leo ndio nimeona umhimu wa Raisi wetu Mtukufu Mheshimiwa John Pombe Magufuli Kupiga Marufuku hizi Tabia za Mademu kuvaa visiketi vifupi Tena naomba wakome kabisa na waache...
4 Reactions
59 Replies
7K Views
habari wakuu, nimeona ni vyema kama nikishea na ninyi mkasa huu mfupi wa wizi nilioushuhudia siku kadhaa zilzopita. wanawake kuweni makini sana na mikoba yenu mnapokua mpo kwenye daladala hasa...
7 Reactions
104 Replies
9K Views
Akitoka nyumbani kavaa baibui akifika njiani anabadilisha anavaa kimini na kuchukuliwa na marafiki zangu huyu mwanamke alikuwa hafai hafai kabisa mpaka nikamchoka na visa vyake mpaka nikamfukuza...
2 Reactions
95 Replies
21K Views
Habari za mida wana Jf Mimi ni mwanaume alie timia sifa za kiume ninatafta mpenzi anae jitambua awe ni mkazi Wa kunduchi/tegeta ila awe anajitambua asiwe mdangaji Sifa za mtaftaji By professional...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wana JF! Niliwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi na dada mmoja toka tukiwa shule ya msingi na baadae sekondari na hata baada ya shule tuliendeleza mahusiano yetu. Baadae yeye akapata ajira...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
-am 24 -black in colour -slim -nakaa dsm i need a man who is -24 and above - anaekaa dsm i need a serious man jamani... wale wa hit n run dont even bother cause u'll be wasting your time...
14 Reactions
54 Replies
7K Views
Na hasa ikiwa maneno hayo yanatamkwa na viongozi wa dini?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…