kuhusu Huduma za kuchua/Massage

kuhusu Huduma za kuchua/Massage

Doswe Dossena

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
314
Reaction score
557
Habari..!.
bila shaka weekend inaenda vyema mpaka wakati huu.

Wanajamvi hebu tujuzane katika hili.
Hivi ina maana sehem zote wanazotoa huduma za kuchua mwili/massage huwa kuna huduma za ziada (NGONO) wanazotowa wadada wachuuzi au.??

Mana nlishalisikia sana kama kuna huduma nyengne m'badala ipatikanayo maeneo hayo.
binafsi nimelithibitisha ila ni sehem 1 tu.
Je ndio utaratibu wa huduma zao au hyo ni mbinu mpya..!!??
 
Toa kwanza we huo ushuhuda hapo ulipothibitisha ilikuwaje na ulifanyaje
 
Asilimia kubwa kama sio zote kwenye huduma ya massage kuna biashara ya ngono.
 
Habari..!.
bila shaka weekend inaenda vyema mpaka wakati huu.

Wanajamvi hebu tujuzane katika hili.
Hivi ina maana sehem zote wanazotoa huduma za kuchua mwili/massage huwa kuna huduma za ziada (NGONO) wanazotowa wadada wachuuzi au.??

Mana nlishalisikia sana kama kuna huduma nyengne m'badala ipatikanayo maeneo hayo.
binafsi nimelithibitisha ila ni sehem 1 tu.
Je ndio utaratibu wa huduma zao au hyo ni mbinu mpya..!!??
Wazee wa masaji za kawe road mnakaribishwa
 
Kama ni huduma za hivi.....
Mungu atuepushie mbali huku Lunguya
 
Back
Top Bottom