habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Heshima kwenu wana wa Adam,
Amani iwe nanyi nyote mlipo,
Ama kwa hakika duniani kila Leo hakuishi vituko na maajabu tena ya kustaajabisha kutoka kwa wana wa Adam.
Kwanini watoto walio wengi wa kuanzia 90 - Leo ni kiburi mno, hii inatokana na nini? Malezi au ni asili yao tu?
Tabia zao zinapelekea mtu kufikia pahala kutaka kughairi mipango ya kufyatua kama alivyosema Mh rais.
Nini tatizo kwa watoto hawa?