Yaliyonikuta jana usiku,ilikuwa bado kidogo nipagawe

BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,446
2,000
Habari za j pili wana jf,

Jana mwenzenu yamenikuta makubwa,baada ya uchovu wa kutwa nzima hatimae kidume nikaona nilale mapema coz kiubarid kilikuwa swaaaaaafi.

Nimeingia geto nikachojoa nguo zote nikabaki na Boxer150.

Nikajibwaga kitandan mara ucngiz huoooo.Mara ghafla mida kama ya saa 7 hivi nikasikia mlango wa getto unagongwa nami sikusita kuinuka nakuuliza ninani?

Akanijibu kwakunielewesha vizuri tu nami nikamuelewa na nikafungua mlango,kumcheki mshikaji MIRABAMINNE(Baunser).

Akaniambia anaomba alale usiku ule hapa kwangu tabata coz amechelewa kwenda kwake Sinza,kwakuwa namfahamu nikamkubalia nami nikapanda kitandani nikalala.

Chaajabu mwenzangu akavua nguo zoote akapanda kitandani Duh!Nikampa shuka ajifunike akakataa na kusema anahisi joto,mh!mwanaume nikaanza kujiuliza huyu mshikaji vipi?au anataka kunichenjia nini?nikapiga moyo konde.

Jamaa mara ajigeuze kushoto mara kulia.

Niakaanza kuchezea cm ili itoe mwanga nione kama dushell yake ipo wima nikaona imesinzia,Ghafla maswali ya kichokozi yakaanza,kidume nikawa nayapangua moja baada ya lingine,mara akaanza kunishika na kuniahidi nikikubali kumgegeda atanikat.ik.ia mpaka basi.

Nikaona majanga nikakataa katukatu,akaanza kunifosi duh nikimwangalia ni kipande cha mtu.

Nikamwambia wait nikainuka nikafungua chandarua nikasepa nacho sebuleni nikamfungia mlango kwa nje.

Kiustaarabu nimemfungulia asubuhi na kumuamuru asepe na asirudi.Poleni kwa thread ndefu nipeni pole mwenzenu.
 

cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,040
2,000
Kawadanganye watoto wenzako. Umesema umelala na boxer 150. Ina maana siku hizi watu wanalala na pikipiki? Ukasema alichelewa kwenda nyumbani. Dar hakuna mahali mtu anashindwa kwenda usiku hata iwe saa ngapi. Ukasema alikuja ghafla kulala. Hakuna mtu anakuja ghafla kulala kwako bila taarifa kabla hata kama ni ndugu yako wa kuzaliwa tumbo 1. Huna akili.
 

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,125
2,000
Hahahahahah

Afu nimekumisi sana Homegirl....

Kuna mzee huko kwenu alikuwa anatembea na mpangaji mwenzangu hapo kinondoni kumbe yule "ankal " haisimami zake yeye ni kuringishia mademu wakali afu room anaomba aingiziwe finger ye anakatika tu.
Akamkuta huyo mdada mwenyewe mganga njaa yeye akawa anamuingiza na karrot kaivalisha ndom.Ankali analia kwa utamu leo he he na altezza akapewa awe anaficha siri.
He he unaweza ukakuta vikao kwa mzee swai mnakaa naye.
Mfanyakazi mwenzenu huko bandarini.
 

ndenga

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,761
2,000
Watu wanaopost vitu kama hivi sijui wanawazia nini..ukifikiria kwa undani unataka jamii ielewe nini sasa kwenye hii post. Of all issues za kupost umeamua kuleta ujinga kama huu hapa..
Halafu unataka upewe pole, ndio kizazi chetu kinaangamia hivi hivi kwa kukosa maarifa...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom