Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naandika kwa masikitiko makubwa Sana, nlitokea kuwa na mahusiano na binti wa kiislam kwa muda wa miezi sita nikampenda Sana, mimi ni mkristo, yeye hakuwa na msimamo mkali sana kwenye dini kwaio...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
wanaloga n'gombe halafu zikifa wanashidwa kula.wanazuia mvua mazao yakiharibika nao wanalala njaa,je Ninani anawapa ushauriwakijinga.enyiwachawi ninimnafokiria kabla yakutenda?
0 Reactions
2 Replies
772 Views
Wataalamu wa mahusiano wanadai mifarakano husaidia kujenga mahusiano bora. Baada ya kufarakana, wenzi hujifunza njia bora zaidi za kushughulika na mwenzake ili kutorudia makosa yaleyale. Kwenye...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
KOMBORA KIOTANI-36 BONIFACE BIRAGE Katika kumbatio hilo na busu la ghafla Shunie alikuwa amefumbwa mbali sana kiasi cha kushindwa kukabiliana na hisia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fahamu vitu ambavyo ‘Sex Dolls’ wanaweza kuvifanya Midoli ya ngono yaani ‘sex dolls’ bado ni mada kwenye mitandao ya kijamii na imesababisha watu kutoa maoni mbalimbali. Baadhi ya wanaume wametoa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Simu ya mwanaume...ni ya kuiogopa kama ukoma, au kitunguu swaum ukiipekua sana! Itakuwasha machoni...na kujisababishia kujiletea malumbano na magomvi ndani ya nyumba zenu!
1 Reactions
79 Replies
10K Views
Wadau salaam, Hiki kitu kimekuwa nikikisikia kwa marafiki zangu wakisema kuwa wao wanapenda tu maandalizi ya awali na sio tendo lenyewe. Wanasema kuwa wanaweza kufika hata kileleni kwa kufanya...
10 Reactions
109 Replies
18K Views
Natafuta mchumba jamani tuyajenge awe below 25 Single for a long time pm me Kama upo tayali we mrembo
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Umepata boyfriend ana sifa zote unazozitaka. Umempenda, umempa moyo wako wote. Jamaa ana muhogo wa haja, akikukamata kwenye Kona ya kitandani lazima u squirt Mara nne Na zaidi. Unadaiwa hela...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
nimewasikia wadada hapa na kaka mmoja wanajadiliana kuhusiana na suala hili la kugegedana. dada mmoja anaitwa fatma anasema hamis hajamgegeda. hamisi anasema limgegeda.yule dada anasema kumgegeda...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hill Swali la kill mtu hapa Juzi kati nipo zangu sinza nikaitiwa tenda nikajongea sinza maeneo ya kijiweni Nilipomaliza natoka kumbe pale nilipoitiwa pembeni kulikuwa na guest house sikujua mara...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kila mtu kwenye maisha Ana kutana na mambo mengi pamoja na mitihani tofauti tofauti nimeona sio wazo baya ku share nanyi hii...kujitoa nuksi chukua chumvi ya mawe pamoja na mafuta Ya mzaitun uogee...
5 Reactions
18 Replies
16K Views
Kuna rafiki yangu mmoja (yeye ameoa) alinipa story kuhusu ukoo wao, anasema mfanyakazi wa babu yake (babu wa mbali kama babu yake babu yake mshikaji wangu) aliwahi kumpiga mume wa dada yake huyo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
.....
1 Reactions
4 Replies
900 Views
Ewe dada unaweza kuwa kila siku unamtafuta mchawi kwann huolewi, kumbe mchawi ni wewe mwenyewe. Kilomita za umri zinasonga wewe unazidi kuchubua magoti kwenye nyumba za ibada ukiomba upate mume...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Nina miaka 25, Mkristo na nimejiajiri ninatafuta mpenzi awe umri kuanzia 20 mpaka 27. Awe dini yoyote ila awe tayari kubadili endapo tutaoana. Awe na urefu wa wastan kuanzia 145cm mpaka 160cm...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Wadau, "Ka jioni hivi, nipo kando ya mto nachunga mbuzi 16 wa home kando ya mto. Sasa pale mtoni kuna sehemu ya wasichana na sehemu ya wavulana. Ktk mbuzi wale nakumbuka kuna beberu moja sumbufu...
8 Reactions
188 Replies
30K Views
Wakuu, Huyu mwanadada amekuwa akiziexpose familia za watu kwenywe Tv na kuwasuta wanaume kama watoto, hata kama ni mwanamke ana makosa atafanya ionekane kama mwanaume ndo mwenye makosa sasa mimi...
2 Reactions
82 Replies
13K Views
NAMCHUKIA SANA MKE WANGU: Huyu bwana alipofika nyumbani kwake akitokea kazini,akaangalia simu yake akaona inaita,kuchek kumbe ni namba ya mkewe na wakati huo wanaangaliana maana ameshafika...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Kuna mzee mmoja alinambia zamani mafumanizi yalikuwa machache kwani walijua kuibiwa ni kitu cha kawaida ila tu uibe kwa heshima. Wao walikuwa wakisafiri wakati anarudi anashukia kijiji cha pili na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…